Bunge: Wafanyakazi hewa wamerudi, mamilioni yalipwa

Hivi aliyesema wanawake wana jambo lao 2025 siyo chief Hangaya kweli?

5F3BF7DD-CAE5-4386-9C58-BD80317DEAEC.jpeg
 
Aisee, wazibe hii mianya mapema kama kuna pesa mpaka excess inatokea basi watoe ajira zaidi maana ni pesa nyingi hizo.
 
Dodoma. Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (LAAC) imebaini viashiria vya kuibuka tena kwa mishahara hewa Serikali baada ya kiasi cha mishahara kutoka Hazina kutofautiana na mahitaji halisi ya mishahara katika mfumo wa Lawson.

Hayo yamesemwa leo Alhamis Februari 17, 2022 na Mwenyekiti wa LAAC, Grace Tendega wakati akiwasilisha taarifa ya shughuli za Kamati hiyo katika kipindi cha Januari 2021 hadi Februari 2022.

Ametoa mfano wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo ambapo mahitaji ya Lawson ilikuwa ni Sh13.16 bilioni lakini Hazina ilitoa Sh13.30 bilioni na hivyo kusababisha ziada ya Sh145. 73 milioni.

Amesema kwa upande wa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua mahitaji ya Lawson yalikuwa ni Sh17.67 bilioni lakini Hazina ilipeleka Sh17.88 bilioni hivyo kuwa na ziada ya Sh209 milioni.

Ametaja pia Halmashauri ya Wilaya ya Uyui mahitaji ya Lawson yalikuwa Sh17.06 bilioni lakini Hazina ilipeleka Sh17. 37 bilioni na ziada ya Sh309.34 milioni.

“Hoja hii inaashiria kwamba serikalini kuna usimamizi hafifu wa mfumo wa mishahara. Udhaifu huu usipodhibitiwa utaibua upya mishahara hewa serikalini,” amesema.

Mwananchi
Aliyesimamia zoezi la kuwafukuza wafanyakazi hewa alikuwa ni mpuuzi. Aliyeamini kwenye kufoka foka tu. Badala ya kuimarisha mifumo ili wasirudi hata akiwa Kafa kibudu yeye aliamini kwamba kelele za kisiasa tu zitatosha!
Alifanya hivyo kwenye mengi kwakuwa hakuwa muumini wa kufuata sheria!
 
Dodoma. Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (LAAC) imebaini viashiria vya kuibuka tena kwa mishahara hewa Serikali baada ya kiasi cha mishahara kutoka Hazina kutofautiana na mahitaji halisi ya mishahara katika mfumo wa Lawson.

Hayo yamesemwa leo Alhamis Februari 17, 2022 na Mwenyekiti wa LAAC, Grace Tendega wakati akiwasilisha taarifa ya shughuli za Kamati hiyo katika kipindi cha Januari 2021 hadi Februari 2022.

Ametoa mfano wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo ambapo mahitaji ya Lawson ilikuwa ni Sh13.16 bilioni lakini Hazina ilitoa Sh13.30 bilioni na hivyo kusababisha ziada ya Sh145. 73 milioni.

Amesema kwa upande wa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua mahitaji ya Lawson yalikuwa ni Sh17.67 bilioni lakini Hazina ilipeleka Sh17.88 bilioni hivyo kuwa na ziada ya Sh209 milioni.

Ametaja pia Halmashauri ya Wilaya ya Uyui mahitaji ya Lawson yalikuwa Sh17.06 bilioni lakini Hazina ilipeleka Sh17. 37 bilioni na ziada ya Sh309.34 milioni.

“Hoja hii inaashiria kwamba serikalini kuna usimamizi hafifu wa mfumo wa mishahara. Udhaifu huu usipodhibitiwa utaibua upya mishahara hewa serikalini,” amesema.

Mwananchi
Wafanyakazi hewa wapo kuanzia Bungeni wapo 19, Serikali ianze kwanza na hao
 
Kamati ingeanza na wale wafanyakazi hewa 19 walioko bungeni tungewaona kuwa wanafanya kazi
 
Kamati imekuja na mwarobaini?
 
Wanga Sana nyie watu mmeona hamna pesa ya increment mmeanza lament kwa bunge,hiyo ni bange ya mikopo vuteni tuwaone
 
Alafu wilaya zote zipo mkoa Tabora, Magufuli alikuwa Rais kweli
Magufuli ndio aliengineer wabunge haramu wakawa wanalipwa mishahara hadi leo
Mna shida sana nyiyi
Halafu unpaid salary ni jambo la kawaida serikalini
Swala msingi ni kuuhakikisha hizo hela zinarudishwa hazina kama taratibu zinavyotaka
 
Back
Top Bottom