Bunge: Taratibu za Uchaguzi wa Spika zinaendelea. Wabunge kurejea Dodoma Januari 31, 2022

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Bunge limesema taratibu za Uchaguzi wa kujaza nafasi ya Spika iliyo wazi baada ya Job Ndugai kujiuzulu zinaendelea

Kamati zilizokuwa zikutane kuanzia Januari 10 pamoja na zile zilizotakiwa kukutana kuanzia Januari 17, 2022 hazitakutana wakati huo

Badala yake zitakutana wakati wa Mkutano wa Sita wa Bunge (1 - 11 Februari, 2022) hivyo Wabunge wametakiwa kufika Dodoma 31 Januari, 2022

C2653FEB-E703-4256-8FD5-E174969E1B7D.jpeg
 
Hii ni nafasi ya mwisho kwa Covid 19 MPs kujaribu kuokoa heshima yao,wasirudi bungeni maana SIO wabunge halali,hawana sifa ya kuwa wabunge.
 
Back
Top Bottom