Twamo
JF-Expert Member
- May 27, 2017
- 2,881
- 4,993
Tangu kuumbwa kwa dunia hili ndio bunge la hovyo kuwahi kutokea! Na 'Kazi' ndiye spika wa hovyo zaidi kuwahi kutokea duniani!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
comrade, leo umeandika kizalendo kweli kweli hadi nikadhani nimekosea kusoma id!!Bunge la sasa ndio linamaliza muda wake na linategemewa kuvunjwa rasmi mwezi June panapo majaliwa.
Tumeshuhudia bunge hili likipoteza wabunge wengi kwa kufukuzwa na huenda likawa limeweka historia ya nahodha kuwatosa mabaharia baharini.
Yote kwa yote maisha bado yanaendelea baada ya siasa.
Leo natoa tu angalizo kwa bunge lijalo bila kujali Spika atakuwa Zungu, Chenge au Tulia, kwamba chonde chonde bunge ni mali ya wananchi.
Uongozi ni dhamana tu sisi wananchi tunataka wabunge wote wapate haki kwa usawa, tena walindwe na kuongozwa vyema mbunge kufukuzwa liwe ni swala la mchakato na siyo uamuzi wa mtu mmoja mnatutia hasara walipa kodi.
Spika siyo Nabii au mtume anayemiliki Huduma ya kichungaji ambaye yeye ni alpha na omega bali Spika ni mtumishi wa wananchi.
Mwenye enzi Mungu alibariki bunge lijalo.
Maendeleo hayana vyama!
Tatizo siyo Ndugai wala Magufuli, tatizo ni sisi wananchi tumekubali kila jambo lianzie magogoni au chamwino.
Dhana ya bunge ni chombo na sauti ya wanachi ilizikwa na Ndugai, Tulia na mh. Rais!!!Bunge la sasa ndio linamaliza muda wake na linategemewa kuvunjwa rasmi mwezi June panapo majaliwa.
Tumeshuhudia bunge hili likipoteza wabunge wengi kwa kufukuzwa na huenda likawa limeweka historia ya nahodha kuwatosa mabaharia baharini.
Yote kwa yote maisha bado yanaendelea baada ya siasa.
Leo natoa tu angalizo kwa bunge lijalo bila kujali Spika atakuwa Zungu, Chenge au Tulia, kwamba chonde chonde bunge ni mali ya wananchi.
Uongozi ni dhamana tu sisi wananchi tunataka wabunge wote wapate haki kwa usawa, tena walindwe na kuongozwa vyema mbunge kufukuzwa liwe ni swala la mchakato na siyo uamuzi wa mtu mmoja mnatutia hasara walipa kodi.
Spika siyo Nabii au mtume anayemiliki Huduma ya kichungaji ambaye yeye ni alpha na omega bali Spika ni mtumishi wa wananchi.
Mwenye enzi Mungu alibariki bunge lijalo.
Maendeleo hayana vyama!
Shida sio spika, shida ni chama anachotokea spika.Rais aliwahi mwambia kwenye tukio moja pale Ikulu,washughulikie huko Bungeni,wakija huku yeye atawashughulikia.
Tuna Spika wa ajabu sana kuwahi kutokea .
Shida sio spika, shida ni chama anachotokea spika.
Kumbuka Mr Six alivyojitambua kuleta usawa na haki ya mawazo hakurudi tena.
Ideology za CCM ni za ujamaa bin Socialist baba yake communist.
CCM haiamini katika uhuru wa mawazo bali matakwa ya politburo yaani Central Committee.
CCM ina amini kutawala nchi kwa miaka elfu mmoja kwa namna yoyote.
CCM inavichukulia vyama vya upinzani sawa na wavamizi kisiasa,hawana uhalali wa kutwa madaraka hata wangeshinda kwa asilimia 99.9
Umekuwa Je leo Mzee ?!.Bunge la sasa ndio linamaliza muda wake na linategemewa kuvunjwa rasmi mwezi June panapo majaliwa.
Tumeshuhudia bunge hili likipoteza wabunge wengi kwa kufukuzwa na huenda likawa limeweka historia ya nahodha kuwatosa mabaharia baharini.
Yote kwa yote maisha bado yanaendelea baada ya siasa.
Leo natoa tu angalizo kwa bunge lijalo bila kujali Spika atakuwa Zungu, Chenge au Tulia, kwamba chonde chonde bunge ni mali ya wananchi.
Uongozi ni dhamana tu sisi wananchi tunataka wabunge wote wapate haki kwa usawa, tena walindwe na kuongozwa vyema mbunge kufukuzwa liwe ni swala la mchakato na siyo uamuzi wa mtu mmoja mnatutia hasara walipa kodi.
Spika siyo Nabii au mtume anayemiliki Huduma ya kichungaji ambaye yeye ni alpha na omega bali Spika ni mtumishi wa wananchi.
Mwenye enzi Mungu alibariki bunge lijalo.
Maendeleo hayana vyama!
Mkuu 'johnthebabtist'Bunge la sasa ndio linamaliza muda wake na linategemewa kuvunjwa rasmi mwezi June panapo majaliwa.
Tumeshuhudia bunge hili likipoteza wabunge wengi kwa kufukuzwa na huenda likawa limeweka historia ya nahodha kuwatosa mabaharia baharini.
Yote kwa yote maisha bado yanaendelea baada ya siasa.
Leo natoa tu angalizo kwa bunge lijalo bila kujali Spika atakuwa Zungu, Chenge au Tulia, kwamba chonde chonde bunge ni mali ya wananchi.
Uongozi ni dhamana tu sisi wananchi tunataka wabunge wote wapate haki kwa usawa, tena walindwe na kuongozwa vyema mbunge kufukuzwa liwe ni swala la mchakato na siyo uamuzi wa mtu mmoja mnatutia hasara walipa kodi.
Spika siyo Nabii au mtume anayemiliki Huduma ya kichungaji ambaye yeye ni alpha na omega bali Spika ni mtumishi wa wananchi.
Mwenye enzi Mungu alibariki bunge lijalo.
Maendeleo hayana vyama!
Mkuu wa mhimili anapewa maagizo kama mtoto mdogo.Rais aliwahi mwambia kwenye tukio moja pale Ikulu,washughulikie huko Bungeni,wakija huku yeye atawashughulikia.
Tuna Spika wa ajabu sana kuwahi kutokea .
Mkuu wa mhimili anapewa maagizo kama mtoto mdogo.
Bunge lijalo ni la chama kimoja.
Spika ajaye anajulikana, na tabia zake zinajulikana.
Nimegundua watu wanapenda nchi yao kuliko vyama vyao vya siasa, wanapenda amani bila chuki baina ya watanzania wote, hawafurahishwi na watawala kuonea wapinzani ila wanashindwa kutoa ya moyoni. Hongera johnthebaptist.Bunge la sasa ndio linamaliza muda wake na linategemewa kuvunjwa rasmi mwezi June panapo majaliwa.
Tumeshuhudia bunge hili likipoteza wabunge wengi kwa kufukuzwa na huenda likawa limeweka historia ya nahodha kuwatosa mabaharia baharini.
Yote kwa yote maisha bado yanaendelea baada ya siasa.
Leo natoa tu angalizo kwa bunge lijalo bila kujali Spika atakuwa Zungu, Chenge au Tulia, kwamba chonde chonde bunge ni mali ya wananchi.
Uongozi ni dhamana tu sisi wananchi tunataka wabunge wote wapate haki kwa usawa, tena walindwe na kuongozwa vyema mbunge kufukuzwa liwe ni swala la mchakato na siyo uamuzi wa mtu mmoja mnatutia hasara walipa kodi.
Spika siyo Nabii au mtume anayemiliki Huduma ya kichungaji ambaye yeye ni alpha na omega bali Spika ni mtumishi wa wananchi.
Mwenye enzi Mungu alibariki bunge lijalo.
Maendeleo hayana vyama!
Kila nikikumbuka kufukuzwa kwa Antipas......hakika Mungu atahukumu kwa haki!Yatakuwa yamekukumbuka au yanaelekea kumkumba aliye karibu nawe, pole sana mbatizaji, mbna hujasema pia Tanzania hii ni ya vyama vyote na si ya chama ki....