Bunge na serikali imejifunza nini kutokana na kashfa ya marupurupu uk | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bunge na serikali imejifunza nini kutokana na kashfa ya marupurupu uk

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zing, Jun 25, 2009.

 1. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2009
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Ni hivi karibuni tumesikia habari za mawaziri na wabunge nchini UK kujihudhuru kutokana na kudai na kopokea marupu marupu kwa njia za kiujanja ujanja.

  Kwa serikali na bunge la tanzania ambavyo ni vyombo vya kuwawakilisha wanachi inatakiwa vifanye kazi kwa uwazi.Kwa United Kingdom kujua au kuapata taarifa za mshahara na marupurupu ya Waziri mkuu na viongozi wote wa serikali . Lakini kwa tanzania naona ni tofauti hata wafanyakazi wa mshahara wanaambiwa ni siri. Hizi siri na mambo ya kuficha ficha mambo ndiyo yanasababisha tuwe hapa tulipo leo kwenye kashfa za ufisadi.tuacahne na tabia za kuficha ficha mambo ili viongozi wasiwe jasiri wa kufanya wasiyotakiwa kuyafanya.

  Tumewai kusikia wabunge na mawaziri kutumia nyaraka za kughushi kupata matibabu nje ya nchi. Siwezi kushangaa kuna ujanja ujanja unatumika kwenye marupurupu mengine iwe kwa wabunge , mawaziri na viongozi wote wa idara na wizara za serikali.

  Natoa changamaoto kwa waandishi watuletee habari je rais anastahili ya mshahara kiasi gani , mkewe rais ofisi yake imetengewa bajeti ya kiasi gani? Bunge limetumia shilini ngapi kutibu familia za wabunge nje ya nchi? Je pensheni ya mbunge kwa muda wa miaka mitano ni shilingi ngapi?

  Niemfuatilia kwa karibu sakata la marupurupu ya bunge la UK na nikaona hili bomu la marupurpu limo hata kwenye mabunge yetu ya afrika. sasa changamoto kwa spika ni afanye bunge liwe mfano kwa serikali. kama serikali inaendesha mambo yake kwa siri siri basi Spika awe devera wa kulifanya Bunge liwe TRANSPARENT.
   
 2. Tatu

  Tatu JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2009
  Joined: Oct 6, 2006
  Messages: 1,081
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Kutokana na kichwa cha habari hapo juu, natumaini jibu ni very simple kwamba:

  In Tanzania, unaweza kuwa kati ya viongozi wa nchi japo una hujuma kibao dhidi ya ubadhirifu na utumiaji mbaya wa madaraka, rasilimali, na kodi wa wananchi.
   
 3. M

  Mkereme JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2009
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 251
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0


  Asante Tatu!

  Usijisumbue wabunge wa TZ pamoja na serikali ya CCM ni vichwa vya wendawazimu hawana upeo huo! Naweza waita wote BASTRADS kwani wote wanalipwa mafuta lita 700 kwa mwezi kwa BEI ya TSHS 2000/= kwa lita moja lakini imagine hata yule marehemu wa TaRime CHACHA WANGWE alifia kwenye ajali ya Corrola na DEREVA ambaye alikuwa Day worker ndio maana it was very simple CCM kumwua kwa sababu ya Nyamongo Gold mine I mean North Mara. Juzi tu Kimaro alipata ajali kwenye Benzi sijui aliomba lift then why pay them mafuta yote hayo wakati OCD anapewa 5litres per day hao majambazi si atawaomba lift shit inachefua!!

  Ask the hopeless Spika from Urambo anadhibiti vipi hata hajui!! Kama wapumbavu hao wamepitisha bajeti ya vitafunio tshs.19 billion na bado Matonya ajipangia kutembeza bakuli ulaya kwa kutumia more than one million USD then nakana uraia wangu. I shall claim it CCM WAKIFA WOTE!
   
 4. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #4
  Jun 25, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,574
  Likes Received: 18,546
  Trophy Points: 280
  Ulaya Ulaya, Bongo, Bongo, wenzetu ni unatumia hela yako unapeleka risiti unarudishiwa ulichotumia, huku unabajetiwa, unakabidhiwa fungu lako, utajua mwenyewe, hakuna ku account umetumiaje ndio maana kipindi cha bunge kila watu Dodoma, anzia malobbyst, ma opportunist mpaka wabahatishaji, ni ulaji ulaji tuu kwa kwenda mbele.
   
 5. D

  Domisianus Senior Member

  #5
  Jun 25, 2009
  Joined: Aug 1, 2008
  Messages: 154
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Well done zing, I real appreciated your contribution but I don't think if Tanzania we have reached at that degree of transparency.
  It very simple and sometime you don't have to bother doing any research, if that happen in Uk, where elections are always fairly and transparency, how about Tanzania where almost 75% of members of parliament they have to use money (Mrungula) to be elected??
  If you do remember, few days ago, when Dr.Slaa tried to question about their salaries and other remunerations, you know what exactly happened, it was real a horrendous. Never mind, I believe we will make it with time to have a clean representatives.
   
 6. Spear

  Spear JF-Expert Member

  #6
  Jun 25, 2009
  Joined: Jun 21, 2008
  Messages: 510
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hivi baadhi yenu mnapenda kujidanganya Bunge gani lakujifunza yaliyotokea UK ?hao watu hawana haya na wala hawaoni vibaya, ni sawa na hizo habari kupitia sikio la kulia na kutokea la kushoto ,Wabunge ambao nyuso zao zimesawijika kwa maovu.
   
Loading...