2013
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 11,360
- 6,066
Watizedi walibashiri Bunge la mwaka huu:- kuwepo na upinzani mkali. Lakini naona dalili zote za authority kuli control Bunge.
Possibility zinaonyesha watanzania hawata weza ku-enjoy tena show down kama walivyozoea.
Jamii kawaida inapenda kusikia mambo yasio ya kawaida. Ama sivyo bunge litazeeka kama lile la mwaka 47.
Nashauri wapinzani msitoke tena bungeni manake sikumbuki mlivuna nini mara zote katika hii strategy mpaka sasa..manake kama katiba mpya ishatoka pamoja ma kuzira posho na vikao.
Yule mpinzani mmoja aliyebakia bungeni alijinoma mapesa kama wabunge wa CCM. Japo alikua akipinga hoja tu bila sababu zenye mantiki.
Lets be hopeful.