Kuna mkakati unafanywa ukiwahusisha viongozi wa CCM kumshawishi Rais aruhusu bunge live, sababu wanazojenga ni kuwa wananchi hawawaoni wala kuwasikia wawakilishi wao wanapo elezea mazuri yanayofanywa na Rais wao mpenzi wawapo bungeni.
Kinachotafutwa ni jinsi gani watajitoa katika hili bila kumuathiri Rais ambaye ndiye aliagiza kufutwa kwa bunge live.
Mkakati uliopo ni kum brand Nape kuwa ndiye alikuwa tatizo, itaandaliwa press conference ambapo Rais atatangaza kuwa amepokea maombi mbalimbali kutoka kwa wananchi na amekubali kurushwa kwa bunge live, credit zote zitaenda kwake na maandamano ya kumpongeza yataandaliwa huku Nape akionekana kama msaliti wa wananchi.