MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,970
Hili suala liko polisi lakini halizuii bunge kuunda kamati maalum kujua ni kina nani walihusika na unyama huo, Msanii Roma anaonekana hayuko sawa kimwili na kuakili, sio jambo la kukalia kimya kuona mtanzania mwenzetu kufanyiwa vitendo vya kikatili namna hii.
Ni rai yangu kulitaka bunge kuunda kamati maalum chunguza ni akina nani walihusika, Roma na wenzake wapewe ulinzi wa kutosha pindi watakapohojiwa kuwataka kusema ukweli ni wapi walipelekwa ma ni kina nani ambao waliwaachia kwa masharti? Kama waliachiwa kwa masharti inamaana wanawafahamu wahusika kadhalika wanafahamu walichoambiwa.
Ikiwezeka kina Roma baada ya kutoa ushahidi wao wapatiwe hata hifadhi nje ya nchi kwani wanaogopa wakisema lolote pengine wanaweza kufanyiwa unyama zaidi ya waliofanyiwa. Kufanya hivyo watakua wameueleza umua ni kina nani wako nyuma ya unyama huu. Watanzania wote tutakua tumefahamu ni akina nani wahusika wakuu wa matukio haya, itabidi wawajibishwe vikali kwa mujibu wa sheria na waseme ni kwanini wanatekeleza ufedhuli huu, ni kwa sababu gani na wanatumwa na nani?
Ifahamike wazi kabisa endapo Roma na wenzake wakiwataja wahusika wa utekaji huo, likitokea tukio lolote la kuhatarisha maisha yao au familia zao basi ndio umma wote wa watanzania utajua wahusika ni hao hao. Umma mzima ndio utakaomlinda Roma wa reactions zake.
Mh Rais alimwita Msanii Nay wa mitego ikulu baada ya awali kuagiza aachiwe huru kutoka alikoshikiliwa na polisi kwa wimbo wake wa kuikosoa serikali na wimbo uendelee kupigwa na vyombo vyote vya habari.
Hivyo nadhani hata serikali kwa hili la mziki wa Roma haina tatizo nalo na kama kuna watu ndani ya serikali walihusika kuhusu kutekwa na kuteswa Roma mkatoliki basi watakua kinyume na matakwa ya mkuu wa nchi na wanapaswa kuwajibisha.Ni lazima watueleze kua wao wana uzalendo wa aina gani kumshinda mh Rais?