Kuanzia asubuhi ya leo bunge linaonyeshwa mubashara, kama ni kweli wamesikia kilio chetu basi niipongeze serikali maana tulikuwa tunakosa madini kama aliyoyatema leo Mh. Lema. Lakini kama wameruhusu liwe mubashara ili kumkomoa Mh Nape aonekane yeye ndiye alikuwa anazuia basi siyo kitendo cha kiungwana.
Ngoja ni bakishe shukrani zangu hadi kesho nione kama litaendelea kuwa mubashara.
Tune TBC2.
Ngoja ni bakishe shukrani zangu hadi kesho nione kama litaendelea kuwa mubashara.
Tune TBC2.