Bunge lipitishe sheria ya kuwabana wanawake wanaokataa kuzaa

Masister wa kanisa letu wanahusika hapa? Je na wanaume wasio oa au kukataa kutoa mbegu zao kutumika kwaajili ya uzazi nao wachukuliwe hatua gani maana nao wapo wengi sana kanisa letu likiongoza.
Masista na mapadri hawahusiki sababu hawaolewi wala kuoa kwa mujibu wa imani zao.Ninaoongelea ni hawa wanawake ambao sio masista na hawana mpango wa kuwa masista lakini wajeuri wanadinda hawataki kuzaa
 
Write your reply...Hana habari kuwa kuna wagumba na wajinsia mbili.
 
We jamaa ni noma sana. Kuzaa sio ishu, ishu kulea mzee baba
Wengine unakuta hawana shida ya kulea baba anazo pesa na mwanamke anazo wana kazi au biashara nzuri tu ila kamwanamke unakuta kajeuri hakataki kuzaa
 
Akili zako zinakutosha kuendelea kufua nepi za mchina hapo ilala
Masista na mapadri hawahusiki sababu hawaolewi wala kuoa kwa mujibu wa imani zao.Ninaoongelea ni hawa wanawake ambao sio masista na hawana mpango wa kuwa masista lakini wajeuri wanadinda hawataki kuzaa
 
Unataka kutuaminisha hao watoto wako 14 ulio zalishwa na wanaume tofauti ulilazimishwa?
Wengine unakuta hawana shida ya kulea baba anazo pesa na mwanamke anazo wana kazi au biashara nzuri tu ila kamwanamke unakuta kajeuri hakataki kuzaa
 
Wewe bila shaka utakuwa kibaka tu. Mtu azae asizae wewe inakupa tabu gani au ndio uonekane umeanzisha thread. Hopeless kabisa.
 
Wewe bila shaka utakuwa kibaka tu. Mtu azae asizae wewe inakupa tabu gani au ndio uonekane umeanzisha thread. Hopeless kabisa.
Wewe utakuwa mmoja wa wanaogoma kuzaa kiboko yako hiyo sheria ikipitishwa ndipo kichwa chako kitakaa sawa saa hii kimepinda
 
Kuna wanawake unakuta ni wazima tu kiafya na wana waume zao lakini hawataki kuzaa au kuendelea kuzaa wakati uzazi wanao.Bunge lipitishe sheria ya kuwabana ili kukomesha hiyo tabia
Domo zege utalijua tu..
 
Back
Top Bottom