Bunge lipitishe sheria ya kuwabana wanawake wanaokataa kuzaa

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,909
51,904
Kuna wanawake unakuta ni wazima tu kiafya na wana waume zao lakini hawataki kuzaa au kuendelea kuzaa wakati uzazi wanao.Bunge lipitishe sheria ya kuwabana ili kukomesha hiyo tabia
 
Kuna wanawake unakuta ni wazima tu kiafya na wana waume zao lakini hawataki kuzaa au kuendelea kuzaa wakati uzazi wanao.Bunge lipitishe sheria ya kuwabana ili kukomesha hiyo tabia
Wewe nani kakulazimisha kuzaa?yaani binti mdogo lkn umezeeka kama kikongwe
tapatalk_1537547217716.jpeg
 
Bora ungesema sheria kali ya kubana kuchepuka.....sasa mtu kama hayupo tayari kupata mtoto unaanzaje kumlazimisha......

Maana anaweza pata muda huu ambao hayupo tayari akashindwa kutulia kumlea....utamlaumu.......tena kama huyo ndio mzuri.....unapiga ukuni hadi basi.....
 
Kuna wanawake unakuta ni wazima tu kiafya na wana waume zao lakini hawataki kuzaa au kuendelea kuzaa wakati uzazi wanao.Bunge lipitishe sheria ya kuwabana ili kukomesha hiyo tabia
Masister wa kanisa letu wanahusika hapa? Je na wanaume wasio oa au kukataa kutoa mbegu zao kutumika kwaajili ya uzazi nao wachukuliwe hatua gani maana nao wapo wengi sana kanisa letu likiongoza.
 
Back
Top Bottom