Bunge linavunjwa NCCR Mageuzi ikiwa na wabunge 5 na ACT Wazalendo wabunge 2 Zitto na Bwege, CHADEMA na CUF wapoteana.

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,850
141,770
Bunge linavunjwa huku vyama vya CCM, NCCR na ACT wazalendo vikifaidika kwa kuvuna wanachama wapya miongoni mwa wabunge na CHADEMA na CUF vikipoteza.

Hongereni Mbatia na Zitto na Spika Ndugai

Poleni Mbowe na Magdalena Sakaya.

Maendeleo hayana Vyama
 
Utopolo tuu.

Kwa katiba hii, Mbunge hawezi hama chama, halafu akasalia kuwa Mbunge, kwenye bunge hilohilo moja.
 
Bunge linavunjwa huku vyama vya CCM, Nccr na ACT wazalendo vikifaidika kwa kuvuna wanachama wapya miongoni mwa wabunge na Chadema na Cuf vikipoteza.

Hongereni Mbatia na Zitto na Spika Ndugai

Poleni Mbowe na Magdalena Sakaya

Maendeleo hayana vyama
P bana unachekeshaha sana
 
Wabunge wapinzani kuondoka naona viwanda, uchumi umepaa gafla

Ova
 
Back
Top Bottom