Bunge linatakiwa kutunga sheria mpya ya uchaguzi itakayoanza kutumika 2015:

Onguluo

JF-Expert Member
Aug 4, 2013
406
115
Kutokana na mabadiliko ya kiteknolojia hasa teknolojia ya habari na mawasiliano ambopo kwa sasa tupo KIDIGITALI zaidi, imefika wakati ambapo bunge linapaswa kutunga sheria mpya ya uchaguzi ambayo itaruhusu watanzania kupiga kura kwa njia ya mtandao wa kijamii hasa JAMII FORUM.
Jamii forum imeboreshwa kiasi kwamba inaweza kudumu kazi hiyo ,chamsingi ni kutunga sheria na kuwaelekeza watz namna ya kujiunga humu jf. Kwakweli litaweza kuondoa kero kwa wapiga kura na hata wagombea wataridhika na matokeo.
Mh,spika naomba kuwasilisha.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom