Wakuu jamvini, Nimekuwa nafuatilia mijadala ya Bunge letu la Budget kwa muda sasa ila sasa nimechoka kabisa. Kilicho nichosha ni hii tabia ya baadhi ya wabunge wengi (hasa wa CCM) kutumia muda wao wote kujadili mstari kwa mstari wa maoni ya Upinzani katika kila Budget iletwayo na Wizara. Nijuavyo mimi maoni ya kambi ya upinzani sio lazima yafuatwe na serikali iliyoko madarakani hivyo kama yana makosa serikali inayaweka pembeni na bado inakuwa haijavunja sheria yeyote. Sasa najiuliza kwa nini wabunge wa CCM na baadhi wa CUF wanatunisha Misuli na kutumia nguvu nyingi ku crash maoni ya Chadema na watoa maoni hayo wakati siyo yatakayo endesha serikali 2012/2013? Wanapoteza muda wao kisha wanaishia na kusema "Mhe Spika naona waziri asilisahau jimbo langu linakabiliwa na umasikini"
Najiuliza tena Hili Linaashiria nini?
Kama huo ndio muuno wako na Wabunge wa CCM ndivyo wanavyo fikiri kuwa Maoni yaletwayo na upinzani ndyo ya kujadili nasio hotuba ya waziri basi kasoro ya utendaji wenu inaanzia hapo na kufanya mkose mwelekeo.Wewe unauliza swali gani sasa wewe unataka wasijadili wakati wameileta bungeni.
Kwa ndani naona kama ki bibi gagula vile??????
Soma katuni ya masoud Kipanya leo tarehe 4 julai kwenye mwananchi ndo utapata picha ya BUNGE
Mkuu mbunge mwenzeo wa CCM kasema serikali ni kubwa kuliko uwezo wa mapato, waziri kajikanyaga kujibu, kuonyesha jinsi wasivyo jali wananchi!!!!!kimsingi bajeti ya upinzania ina nguvu kuliko ya serikali ndiyo maana unawapa changamoto sana serikali hivyo basi ccm A NA CCM B wameonyesha udhaifu wa hali juu kwa kuijadili bajeti ndogo na kuacha bajeti kubwa
Wakuu jamvini, Nimekuwa nafuatilia mijadala ya Bunge letu la Budget kwa muda sasa ila sasa nimechoka kabisa.
Kilicho nichosha ni hii tabia ya baadhi ya wabunge wengi (hasa wa CCM) kutumia muda wao wote kujadili mstari kwa mstari wa maoni ya Upinzani katika kila Budget iletwayo na Wizara.
Nijuavyo mimi maoni ya kambi ya upinzani sio lazima yafuatwe na serikali iliyoko madarakani hivyo kama yana makosa serikali inayaweka pembeni na bado inakuwa haijavunja sheria yeyote.
Sasa najiuliza kwa nini wabunge wa CCM na baadhi wa CUF wanatunisha Misuli na kutumia nguvu nyingi ku crash maoni ya Chadema na watoa maoni hayo wakati siyo yatakayo endesha serikali 2012/2013?
Wanapoteza muda wao kisha wanaishia na kusema "Mhe Spika naona waziri asilisahau jimbo langu linakabiliwa na umasikini"
Najiuliza tena Hili Linaashiria nini?
....ccm....chama cha mabwepande wabunge wake karibu wote ma-ziro wakiongozwa na stella matomato.
bunge la sasa halina tofauti na katuni za tom & jerry!!
bunge lina vituko kila kukisha afadhali ya jana wanapoteza muda bure na kutunyonya wananchi kwa kukaana kubwatukiana pasipo sababu za msingi ushabiki wa kisiasa badala ya maslai ya wananchi