Bunge limeshindwa kupitisha Bajeti Kutokana na Uchache wa Wabunge LEO

1. They are now proving to us that.................we have nothing to do no matter what
2. Heshima tunayo kwa viongozi wetu hususan hao wabunge ila kwa haya mambo they as well should expect a hit back...........hata kama itakuwa ni kuwadharau na kuwapuuza kama wanavyotufanyia wao

Mi si mshabiki wa siasa za hapa nyumbani ila kwa hili I wish to hear from Zomba, Ritz na wengine ambao mna nasaba na chama chenye wahudhuriaji wengi..............you should show up at least to let us know whats up!!!!!!!!!!!!!!!!
 
wapinzani wanataka kuongeza siku za bunge ili walambe zaid miposho hakuna jingine hilo ndo wanalotaka ni tamaa ya posho
 
Huna lolote kinacho kusumbua ni mafao anayo yapata Spika Makinda, kwani waonyesha umetumwa, na aliyekutuma mwambie kibiri kimejaa. Na la mwisho ni kuwa, kuwa na nywele kichwani hakumaanishi kuwa unaweza kufikiri.

kijana mbona unatapika kwa jazba namna hii???
Hebu punguza jazba kwanza ndo uendelee.
 
Ikiwa ndugai et al walijua idadi ya wabunge kuwa haijakidhi akidi ya wabunge 172....lakini akaamua kuendelea na vikao, halafu baadaye inajulikana kuwa haiwezekani kupitisha bajeti kwa idadi hiyo, Basi napendekeza wabunge wote waliohudhulia kikao hicho wasilipwe posho, kwakuwa watakuwa wanatuibia wtz.
 
Ni jambo ambalo linaweza kutokea hasa pale Taifa linapokuwa na matatizo ya msiba kama ilivyo kwetu hivi sasa la msingi la kujiuliza hapa ni kwamba je wote wapo msibani? maana hata bosi wao hakuwepo labda ndio watu wakaamua kuchukua hiyo opportunity kuwa walikokuwa taifa hili litajengwa na sisis wenyewe

Kilichotokea huko bungeni hakiwezi kupita hivi hivi, sisi kama walipa kodi tunamuhitaji naibu spika Ndugai atupe ufafanuzi wa kina kwa haya yafuatayo; kwanza kwa mujibu wa mwongozo uliotolewa na spika Makinda, hakuna mbunge yeyote anayeruhusiwa kukosa kuhudhuria kikao cha bunge bila ya kuwa na ruksa ya spika. Kwa mantiki hiyo, wabunge wote ambao hawakuhudhuria kikao cha leo, bila shaka watakuwa wamepewa ruksa hiyo na spika au naibu wake; kama hivyo ndivyo, tangu mwazo mh. Ndugai alikuwa anajua ya kwamba bunge la leo alipashwi kuendelea kwakuwa halikuwa na akidi, hivyo uamuzi wake wakutumia rasilimali za umma, kuendesha kikao ambacho alikuwa anajua fika ya kuwa si halali ni kuwasaliti watanzania. Katika hali hiyo kwanini hasiwajibishwe kwa ulaghai huo? Pili hata baada ya kuambiwa juu ya kasoro hii, na kujiridhisha yeye mwenyewe juu ya ukweli wa jambo hilo, bado aliendelea kuteketeza fedha za umma kwa kuendesha kikao katika ngazi ya kamati ya matumizi, huku akijua ya kwamba alichokuwa akifanya ni usanii tu kwakuwa hakuna maamuzi yeyote yanayoweza kufanyika na wabunge wasiotimiza idadi. Kwa ukaidi huo kwanini asichukuliwe hatua ya kinidhamu? bali na naibu spika hata mwanasheria wa serikali anapaswa awajibishwe; kwani uhalali wake wa kuwepo hapo bungeni unatokana na umuimu wa kutoa ushauri wa kisheria panapokuwepo sintafahamu ya aina hiyo jambo ambalo hakufanya.
 
imagine wabunge 112 tu kati ya 300++??? Haki iko wapi ya wabunge kuwajibika kwa majukumu waliyotumwa na wananchi???
 
1. They are now proving to us that.................we have nothing to do no matter what
2. Heshima tunayo kwa viongozi wetu hususan hao wabunge ila kwa haya mambo they as well should expect a hit back...........hata kama itakuwa ni kuwadharau na kuwapuuza kama wanavyotufanyia wao

Mi si mshabiki wa siasa za hapa nyumbani ila kwa hili I wish to hear from Zomba, Ritz na wengine ambao mna nasaba na chama chenye wahudhuriaji wengi..............you should show up at least to let us know whats up!!!!!!!!!!!!!!!!

Thank you for this post!
 
Wanakula kodi zetu tu hawa, wameishaingiza siku hata kama limeahirishwa, shame!
 
Huna lolote kinacho kusumbua ni mafao anayo yapata Spika Makinda, kwani waonyesha umetumwa, na aliyekutuma mwambie kibiri kimejaa. Na la mwisho ni kuwa, kuwa na nywele kichwani hakumaanishi kuwa unaweza kufikiri.

Huyu nahisi ni mtoto wa watu, aka chakula ya wazee wa magamba. hata chembe ya kufikiri huna
 
Back
Top Bottom