Bunge limeshindwa kupitisha Bajeti Kutokana na Uchache wa Wabunge LEO

NDUGAI aliandika kimemo kipelekwe TBC ili wakate MATANGAZO tusione LIVE.WABUNGE watakuwa wanatanua wikiend au wapo mnadani wanachoma nyama.
 
Huna lolote kinacho kusumbua ni mafao anayo yapata Spika Makinda, kwani waonyesha umetumwa, na aliyekutuma mwambie kibiri kimejaa. Na la mwisho ni kuwa, kuwa na nywele kichwani hakumaanishi kuwa unaweza kufikiri.

Wewe kwa kuwa umezoea 'Kutumika' basi kila unayepishana naye njiani unadhani naye huwa anatumwa. Matatizo yako ya msingi sana na wala sitaki uamini ninachokisema kwa sababu wapo wanaokuambia ukweli siku zote!.. Hata ulipoambiwa kuna Mungu hadi leo huna uhakika! Lakini mumeo alipokuambia "Nipo kwenye kikao" ukamuamini!..
 
Hapa Moro naona mashangingi wanakula bata tu...............hii nchi sijui nani alituloga
 
Da!! Hii ni aibu kwa taifa, hakika bunge letu limechoka na sasa linasubiriwa kuzikwa.
 
Katiba mpya wabunge wasiwe na nyadhifa nyingine ili wawepo bungeni wakati wote kuwatumikia watanzania.

Afadhali, TBC na Naibu sipika walishashutumiwa kwamba wamechakachua ombi la Tundu Lissu, James mbatia na Moses machali kuhusu uchache wa wabunge.
 
wewe kwa kuwa umezoea 'kutumika' basi kila unayepishana naye njiani unadhani naye huwa anatumwa. Matatizo yako ya msingi sana na wala sitaki uamini ninachokisema kwa sababu wapo wanaokuambia ukweli siku zote!.. Hata ulipoambiwa kuna mungu hadi leo huna uhakika! Lakini mumeo alipokuambia "nipo kwenye kikao" ukamuamini!..

ccm wanamaliza kuni kwa kuchemsha mawe, kweli mwisho wa ubaya ni aibu
 
Nchi kama ya kusadikika..., hawa CCM wamefika mahali pagumu, kwanza hawakipendi chama chao, wanaona kama uongozi kwao ni mzigo... kazi ipo
 
Naomba haya mambo yaendelee ili kazi izidi kuwa rahisi!! watasema wako Zanzibar kwenye maombolezo
 
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Naibu Spika Bw.Job Yustinno Ndugai limeahirishwa kwa kile kilichonyooshewa vidole na Wabunge wa Upinzani kuwa ni kutokutimiza Akidi ya yabunge zaidi ya 172.. Bajeti hiyo itajaribu kupitishwa tena Jumatatu..

Ndugu Ni Mimi Msiogope wabunge leo wako wapi? Walau wanaotoka Zanzibar watakuwa wameenda kutoa pole kwa wafiwa; wale wa bara wako wapi au wameenda kushuhudia harusi ya Raisi na First lady wa tano 2015 -2020?
 
Last edited by a moderator:
Huna lolote kinacho kusumbua ni mafao anayo yapata Spika Makinda, kwani waonyesha umetumwa, na aliyekutuma mwambie kibiri kimejaa. Na la mwisho ni kuwa, kuwa na nywele kichwani hakumaanishi kuwa unaweza kufikiri.

Naona umechangamka changamka kidogo yule vuvuzela wenu amewapa mshahara wenu nini?
 
Back
Top Bottom