Bunge limeisha na raha na karaha zake,We gonna miss them | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bunge limeisha na raha na karaha zake,We gonna miss them

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bajabiri, Aug 27, 2011.

 1. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #1
  Aug 27, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Itatuchukua muda sana hadi tuje tushuhudie mawaziri na baadhi ya wabunge wakilala hadi udenda ukiwatoka,,,,,haya mambo yalikuwa yakionekana exclussively kwenye BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA,si hilo tu lakini tutamiss sana vijembe vya waheshimiwa hawa ambao walikuwa wakitupiana mara kwa mara,ile zomeazomea ya watu wazima kwa sasa hutaiona tena,,,,kingine ambacho tutakimiss ni kuibuka kwa maneno ya MISIMU,kama vile kufikiria kwa makalio aka kimasaburi,wabunge ni ze komedi,serikali LEGELEGE na miongozo ya spika,,,,maneno kama mkakati,mpango,,mchakato haya yooote tutayamiss sana,maana ndio kauli za mawaziri wa JK,Bunge lililopita litanifanya nimiss vigeregere vya wabunge wa viti maalum,kwa mujibu wa wachambuzi wengi wa hapa ambao husema wanaopiga vigeregere ni wale wa viti maalum THITHIEM,
  kama kuna kitu ambacho utakimiss tuambiea
  wassalam,,,,,
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  Aug 29, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Bora hii ngoma ya mkole imeisha maana.

  1. Walishupalia umeme- wamemaliza kiza kimeongezeka maradufu.

  2. Walishupalia maji- hatuna maji.

  3. Walimshupalia Jairo- wameishia kumpa ujiko wa kusukumwa na watumishi wenzie.

  Kwa kifupi walifanikiwa kutufanya tusifurahie mafutuhi yetu na kupunguza vipindi vya burudani kwenye luninga. Inatia hasira.
   
Loading...