Bunge Limehairishwa... Ni kipi cha maana kilichofanyika?

Jana waliaarisha...kwa sababu ta Gongo L M ...Shame!!

..Leo wanairisha...

Hayo matukio yamekaa vipi?

That means ...

Kwa nini hawakuairisha jana...?

wangeahirisha jana, posho ya leo wasingepata....kwani hujaelewa tu hapo! halfu wanajidai wametoa kwa wahanga. Pesa ambayo hujaifanyia kazi, unasemaje ilikuwa ya kwako??!!!!
 
Huyu kweli ni Waziri Mkuu wa CCM. Mbona hata hajawapongeza Mawaziri Vivuli katika hotuba yake au hiyo haikuwa shughuli ya Bunge au ameona ni kokoto imeingia kwenye kiatu?
 
mapema sana chadema ni chama chenye status ya kukamata dola siamini kama wabunge wetu wa chadema wanaweza kutumia milioni 90 kufanya anasa.
Unadhani watazifanyia nini? Wao na wengine wote linapokuwa ni suala maslahi na hasa pesa, hawana tofauti.
 
Huyu kweli ni Waziri Mkuu wa CCM. Mbona hata hajawapongeza Mawaziri Vivuli katika hotuba yake au hiyo haikuwa shughuli ya Bunge au ameona ni kokoto imeingia kwenye kiatu?

Wamemwita "mwongo" halafu awapongeze! Na uongo wenyewe umeingia kwenye hansard.
 
mapema sana chadema ni chama chenye status ya kukamata dola siamini kama wabunge wetu wa chadema wanaweza kutumia milioni 90 kufanya anasa.

Mkuu Human Nature ni vigumu binadamu akipewa pesa kama hizi akazikataa ni wachache sana, kama wapo..,

Cha maana ni sisi wananchi wenyewe kuonyesha kwamba hatupendezwi na huu ufujaji.. alafu ndugu kumbuka Bunge ni la CCM na Chadema ni vigumu kufanya chochote mjengoni si unaona walivyokuwa wanazimwa na leo Spika amewaambia sio vizuri kuongelea mambo nje (yaani anataka kuwaziba kauli zao hata nje ya bunge)
 
Mbona sijaona anasemea matukio ya Arusha na Mbeya? Hata alipoambiwa kaongopa, mbona hajasema? Au ndio kusema makinda alikurupuka kumvamia Lema kama tai?
 
ile hoja ya kulidanganya bunge imeishia wapi?.....yaani siku hizi mambo yanapotezewa hovyo hovyo.
 
Kwa hiyo itabidi tuamini kwamba Lema alisema kweli kwamba PM kaongopa, maana Makinda alikuja juu sana na ghafla kanywea baada ya kuletewa ushahidi wa kuongopa huko.
 
Yaani hakuna jambo la maana ambalo limefanywa na wabunge wetu katika kikao hiki...
 
Asubuhi ya leo akijiandaa kumkaribisha Pinda kufunga bunge mama makinda kwa kifupi alifafanua kuwa mikopo ya magari ya wabunge itakuwa imeingia kwenye akaunti zao kwa ambao bado by next week...

akijaribu kupambana na g. lema akasema kuwa hata wao wananchi wanahitaji kufikiwa na mbunge wao hivyo gari hizo tena zile za mikonga ndio hesabu walizopigia....

akamalizia kwa kusema kuwa mbunge hawezi kuzungukia jimbo lake na KIBAJAJ!!!

hapo ndipo nikaanza kuwa na mashaka na uwezo wa mama yetu mama makinda...

1. je hajui kuwa raisi wake amevifagilia vibajaj na amependekeza kununua vibajaj 400 kubebea mama wajawazito? yeye kwa nini amevidharau?

2. sina uhakika na sijui, je walivyojadili hotuba ya raisi wamekubaliana kununua vibajaj kwa akili ya kina mama wajawazito?

naomba kuwasilisha
 
Mkuu anaweza kuwa kilaza hilo sikatai-lakini kwa maelezo yako alipocomment kuhusu bajaj kuzungukia jimbo yuko sahihi,na aliye-propose zinunuliwe kubebea mama wajawazito pia yuko sahihi..Kwa kubebea mama wajawazito it is just one way trip na wala siyo intended kwa long trip,ila ni pale kuweza kufikia the nearest Dispensary maana kwa rural areas hata kuzungumzia nearest Health Centre bado kuna maeneo bajaj zitachemka tu..it is obviously huwezi kuzungukia jimbo mkuu,wacha ushabiki usiokuwa na maana.
 
Back
Top Bottom