Bunge limegubikwa na wasemaji wasiojua tofauti ya speak and talk

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Nov 24, 2012
2,977
1,897
Jana bungeni Mh. bashe alisema export zimepungua serikali inaficha data, naomba kumuuliza huyu kijana. Yeye ana mashamba mangapi ya korosho. Maana export haziwezi kuongezeka kama Watanzania hatulimi. Agepaswa kulalamika anauza sana nje na serikali inamfichia data.

KuhusuMabenki; Mabenki kibao hayapo kibishara. Matangazo yao kila siku yanataka fixed deposite, Mortage, na Mikopo ya wakandarasi hivi mamantilie anaweza kuweka fixed deposite? Wawakuze wafanyabishara wadogo wawe wakubwa. wanataka simple business kwanini faida zishishuke?
Mabenki mengi hapa Tanzania wanafanya biashara na serikali na matajiri wa kati na wakubwa.

Mbunge mwingine anasema Private partnership. Simuelewi! Tumeuza hapa viwanda vimebakia magofu. Private partnership hapa Tanzania ni dhambi. Tuliwaleta City Water tukala wa chuya. Tuliwaleta Celtel tukaumia, na Star Times yaleyale. Hata machungu hayajatusha. Anataka PPP ipi? Hajifunzi kutokana na makosa. Yeye kama anahela ajenge kiwanda. NDC wanataka wawekezaji au anatafuta pesa za kununua nyumba ya lugumi. Kama anataka pesa za kuandika proposal asahau. Pesa ipo shambani .

Jana imekuwa siku yangu ngumu sana. Nimehuzunika na nimenyong'onyea sana. Nimegundua kwanini bunge halionyeshwi live. Bunge halionyeshwi live kwasababu wabunge wanawalisha wananchi sumu.
Lazima wabunge wajue tofauti ya speak and talk. nimekuwa mgumu sana kusema kitu. Nimekuwa najifua sana.

When you speak you must have vision!
Good politician should have a vision for his country, be able to articulate it, and inspire action. Vision was near the top of the list of politics dimensions mentioned by respondents. Authentic politician entails the ability to visualize the future and effectively communicate that vision to others. Those who aspire to lead should take note. You can stay in middle politics forever without this skill set. You will rise to the top if you can see the big picture and help others see it too.

Nape what is wrong? Elimu? Au nini? Tanzania is Moving in Right Direction Hata wazungu wanashangaa!!wewe huoni chochote?
Leo hii mheshimiwa Nape Nauye ameeleza kwa kina jinsi ambavyo serikali inakosea katika mambo mengi sana, nape anasema Serikali imevaa viatu ambavyo sio saizi yetu. Nimependa sana Uzalendo wa Nape Nauye ... Hebu mtazame hapo chini alivyofunguka kisha toa maoni yako

Duh yaani ningekuwa na chuo kijana ningekuita nije nikupatie PhD ya heshima. Yaani umepiga penyewe kabisa. Unajua wao lengo lao ni kuivuruga serikali ya Dkt Magufuli, yaani wanatafuta muanya. Na ukitaka kujua wamekula rushwa wasikilize kauli zao, zinafanana. Serukamba anasema eti PPP ina uhusiano na ujamaa, yaani ukikataa PPP maana yake unakumbatia ujamaa. Kwanza nasema huyu mbunge hana exposure na hajui kitu, na hajui maana ya PPP. Huwezi ukawa na PPP ambayo ni nzuri kama kuna 10% (ambayo akina serukamba walizoea). Msikilize Bashe na yeye, yeye anasema Mpango hafai, Ndasa naye hivyo hivyo eti ana kiburi, sasa unajiuliza mbona hawa matamshi yao yanafanana??? Ila Bashe kaguzia kitu ambacho rushwa inaonekana ilitembea, pale anaposema watu wa sekta fulani fulani. Pia hizo monetary policy na fiscal policy anazoongelea Bashe hata hazijui, ni mbumbu, ila kuyatamka maneno na kuweka vigereza vyenye makengeza ni mahili. Kwa ufupi Haters wazoee tu, hii nchi iko safiii kabisa

Kati ya wanaJF wenye mtazamo chanya, ni pamoja na wewe, wa jinsi Serikali inavyojenga misingi ya uchumi imara na endelevu kuelekea Tanzania mpya.

Mifano uliyotoa ni kielelezo kizuri, cha kile anachokipiga vita Rais Magufuli, cha kufanya kazi kwa mazoea business as usual, na ambacho Wabunge wetu wanataka kuturudisha huko.

Kwa sasa kazitu ikifanywa kwa:
i) Malengo/Vipaumbele km kukusanya kodi - Bashe anadai ati Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo 2018/19 umejaa maswala ya kodi tu!! Aibu kwake kijana.
ii) Malengo magumu yanayoweza kugharimu maelewano katika jamii (lawama na shutuma) - Tanzania ya viwanda, elimu bure nk. Lakini Mbowe anasema ni ndoto, Serikali inachofanya ni kuwasakama wapinzani. Wao wamejenga viwanda vingapi au kusomesha watoto wangapi bure, hata kwenye Majimbo na Halmashauri wanazoziongoza!
iii) Utekelezaji wa malengo magumu kwa umakini. Kutoa elimu bure ni lazima kuwepo uwezo wakufanya hivyo kifedha, japo fedha siyo msingi wa maendeleo. Kusimamia kwa karibu utendaji wa kila mfanyakazi ni moja ya nguzo kuu za kufikia lengo. Hatua za kuondoa wafanyakazi wenye vyeti hewa imehakikisha kuwepo kwa maamuzi sahihi na kuua mizizi wa urasimu na umangimeza.
iv) Na kadhalika yanayogusa sifa 6 za kiongozi mwanamageuzi.

Mada yako nzuri SANA tu ila ungetupa tofauti Kati ya maneno "speak na talk " itanisaidia SANA

Kuna tofauti moja kati ya nane za talking and speaking. Moja wapo ni Vision zingine nitafute private.

When you speak you must have vision!
Good politician should have a vision for his country, be able to articulate it, and inspire action. Vision was near the top of the list of politics dimensions mentioned by respondents. Authentic politician entails the ability to visualize the future and effectively communicate that vision to others. Those who aspire to lead should take note. You can stay in middle politics forever without this skill set. You will rise to the top if you can see the big picture and help others see it too.
 
Jana bungeni Mh. bashe alisema export zimepungua serikali inaficha data, naomba kumuuliza huyu kijana. Yeye ana mashamba mangapi ya korosho. Maana export haziwezi kuongezeka kama Watanzania hatulimi. Agepaswa kulalamika anauza sana nje na serikali inamfichia data.

KuhusuMabenki; Mabenki kibao hayapo kibishara. Matangazo yao kila siku yanataka fixed deposite, Mortage, na Mikopo ya wakandarasi hivi mamantilie anaweza kuweka fixed deposite? Wawakuze wafanyabishara wadogo wawe wakubwa. wanataka simple business kwanini faida zishishuke?
Mabenki mengi hapa Tanzania wanafanya biashara na serikali na matajiri wa kati na wakubwa.

Mbunge mwingine anasema Private partnership. Simuelewi! Tumeuza hapa viwanda vimebakia magofu. Private partnership hapa Tanzania ni dhambi. Tuliwaleta City Water tukala wa chuya. Tuliwaleta Celtel tukaumia, na Star Times yaleyale. Hata machungu hayajatusha. Anataka PPT ipi? Hajifunzi kutokana na makosa. Yeye kama anahela ajenge kiwanda. NDC wanataka wawekezaji au anatafuta pesa za kununua nyumba ya lugumi. Kama anataka pesa za kuandika proposal asahau. Pesa ipo shambani .

Jana imekuwa siku yangu ngumu sana. Nimehuzunika na nimenyong'onyea sana. Nimegundua kwanini bunge halionyeshwi live. Bunge halionyeshwi live kwasababu wabunge wanawalisha wananchi sumu.
Lazima wabunge wajue tofauti ya speak and talk. nimekuwa mgumu sana kusema kitu. Nimekuwa najifua sana.
Siyo maneno yake...
 
Inasikitisha sana Bashe ni mtafutaji kiki za kisiasa kuliko mbunge mwingine yeyote...yuko na mission zake ambazo anataka kuziaccomplish kwa faida yake na familia yake..MBAYA....nawahurumia wananchi wake.

Hoja hujibiwa kwa hoja. Kwa nini mna personal attack mtu.

Katoa hoja kwa kutumia data za Dk Mpango. Na nyie mjibuni kwa data na sio matusi.
 
Huyu mleta hoja mbona haeleweki? Kwa hiyo anataka wabunge kuweza kusemea jambo fulani ni lazima wao wawe washiriki wa mona kwa moja?

Mbunge ni mwakilishi wa watu wote katika jimbo lake. Ana haki ya kusemea jbo lolote linalohusu watu wake.

Kama export za korosho zinaanguka, kosa ni la mbunge, serikali au wakulima? Serikali haiwezi kulima lakini imefanya nini kuboresha uzalishaji na biashara ya korosho? Serikali ambayo haijui kuwa uchumi hukamilika kutokana na uzalishaji na uuzaji itawezaje kukuza uchumi? Serikali ambayo inawaita wafanyabiashara wa mazo ni walanguzi, inataka wakulima wa korosho wazalishe, watafute masoko, wasafirishe na wauze nje wenyewe?

Yawezekana wabunge wakafanya makosa ya hapa na pale lakini serikali ya awamu hii licha ya machache kuyafanya vizuri, imeharibu mambo mengi kwenye uchumi.
 
mtoa post kaeleza kinagaubaga alichotakiwa kufanya kabla ya kuongea alichoongea.

Rudi juu soma vizuri achana na mambo ya hoja kwa hoja.

Utafikiri hata tukiweka data hapa utazielewa:rolleyes:
 
Jana bungeni Mh. bashe alisema export zimepungua serikali inaficha data, naomba kumuuliza huyu kijana. Yeye ana mashamba mangapi ya korosho. Maana export haziwezi kuongezeka kama Watanzania hatulimi. Agepaswa kulalamika anauza sana nje na serikali inamfichia data.

Kuhusu Mabenki; Mabenki kibao hayapo kibishara. Matangazo yao kila siku yanataka fixed deposite, Mortage, na Mikopo ya wakandarasi hivi mamantilie anaweza kuweka fixed deposite? Wawakuze wafanyabishara wadogo wawe wakubwa. wanataka simple business kwanini faida zishishuke?

Mabenki mengi hapa Tanzania wanafanya biashara na serikali na matajiri wa kati na wakubwa.

Mbunge mwingine anasema Private partnership. Simuelewi! Tumeuza hapa viwanda vimebakia magofu. Private partnership hapa Tanzania ni dhambi. Tuliwaleta City Water tukala wa chuya. Tuliwaleta Celtel tukaumia, na Star Times yaleyale. Hata machungu hayajatusha. Anataka PPT ipi? Hajifunzi kutokana na makosa. Yeye kama anahela ajenge kiwanda. NDC wanataka wawekezaji au anatafuta pesa za kununua nyumba ya lugumi. Kama anataka pesa za kuandika proposal asahau. Pesa ipo shambani .

Jana imekuwa siku yangu ngumu sana. Nimehuzunika na nimenyong'onyea sana. Nimegundua kwanini bunge halionyeshwi live. Bunge halionyeshwi live kwasababu wabunge wanawalisha wananchi sumu.
Lazima wabunge wajue tofauti ya speak and talk. nimekuwa mgumu sana kusema kitu. Nimekuwa najifua sana.

Tulia uandike uzi vizuri. Unachanganya hisia na reality.

Yaani unajiuluza na kujijibu mwenyewe.

Hebu weka Data, Ingia YouTube uangalie ile video tena, Millard ayo ameiweka full 16m.

Ukishaingalia rudi hapa tu debate.
 
Jana bungeni Mh. bashe alisema export zimepungua serikali inaficha data, naomba kumuuliza huyu kijana. Yeye ana mashamba mangapi ya korosho. Maana export haziwezi kuongezeka kama Watanzania hatulimi. Agepaswa kulalamika anauza sana nje na serikali inamfichia data.
.

Kama anazungumzia iliyopo tatizo lako liko wapi???.Kwa wakati wa JK ilikuwa 100 na sasa ni 90 je huko si kushuka???
 
Huyu mleta hoja mbona haeleweki? Kwa hiyo anataka wabunge kuweza kusemea jambo fulani ni lazima wao wawe washiriki wa mona kwa moja?

Mbunge ni mwakilishi wa watu wote katika jimbo lake. Ana haki ya kusemea jbo lolote linalohusu watu wake.

Kama export za korosho zinaanguka, kosa ni la mbunge, serikali au wakulima? Serikali haiwezi kulima lakini imefanya nini kuboresha uzalishaji na biashara ya korosho? Serikali ambayo haijui kuwa uchumi hukamilika kutokana na uzalishaji na uuzaji itawezaje kukuza uchumi? Serikali ambayo inawaita wafanyabiashara wa mazo ni walanguzi, inataka wakulima wa korosho wazalishe, watafute masoko, wasafirishe na wauze nje wenyewe?

Yawezekana wabunge wakafanya makosa ya hapa na pale lakini serikali ya awamu hii licha ya machache kuyafanya vizuri, imeharibu mambo mengi kwenye uchumi.

Basi angukuja na kujinasibu kuwa amehamsisha vya kutosha jimboni kwake ameongeza export.
 
Mtoa mada hajui nini maana ya mbunge. Mbunge ni mwakilishi wa wananchi kwa hiyo si kila anachokisema ni lazima awe amefanya yeye.
 
Inasikitisha sana Bashe ni mtafutaji kiki za kisiasa kuliko mbunge mwingine yeyote...yuko na mission zake ambazo anataka kuziaccomplish kwa faida yake na familia yake..MBAYA....nawahurumia wananchi wake.
hoja hujibiwa kwa hoja na si mipasho
 
Back
Top Bottom