Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,280
- 25,859
Iliripotiwa kuwa Bunge lilipitisha azimio la kuwaita na kuwahoji Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda na Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Alexander Mnyeti. Bunge lilifikia azimio hilo kwa kile kilichodaiwa kuwa wateule hao wa Rais 'walilidharau' Bunge.
Sasa umepita muda tangu kuwepo kwa azimio hilo la Bunge. Kwa yeyote mwenye taarifa,Bunge limefikia wapi katika kutekeleza azimio lake la kuwaita na kuwahoji Makonda na Mnyeti kwenye Kamati yake inayohusika na Hadhi ya Bunge?