Bunge lililopita 2005-2010 lilikuwa halijui wajibu wake? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bunge lililopita 2005-2010 lilikuwa halijui wajibu wake?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kaa la Moto, Jan 7, 2011.

 1. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #1
  Jan 7, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Jamani wakati nasoma katiba nilishangaa kukuta mambo haya kwenye ibara ya 20:

  (2) Notwithstanding the provisions of sub articles (1) and (4), it shall not
  be lawful for any political party to be registered which according to its
  constitution or policy -
  (a) aims at promoting or furthering the interests of -
  (i) any faith or religious group;


  (3) Parliament may enact legislation which makes provisions for ensuring
  that political parties operate within the limits and adhere to the conditions set out
  in subarticle (2) concerning the freedom and the right of persons to associate and
  assemble.


  Sasa ukisoma hicho kifungu cha 3 utaona jinsi bunge lilivyokuwa limepewa mamlaka ya kushughulikia chama chochote cha siasa kinacholeta udini katika sera zake. CCM ni chama kilicho weka bayana udini katika sera na mwelekeo wake na hata sasa bado kinaendelea kufanya hivyo. Je bunge halikujua uwezo wake katika kushughulikia Chama hiki? Ilikuwa ni umbumbumbu wa kutoijua katiba au kwa kuwa wengi walikuwa ni wa Chama cha mapinduzi? mbona sikusikia hata wale wa kambi ya upinzani wakitoa hoja binafsi kuhusiana na jambo hili?
  Naomba wabunge wa safari hii tuwe macho na Chama cha mapinduzi na waamke kukishughulikia kisheria kwa kuvunja katiba ya nchi. Katiba mbovu tuliyonayo bado inatoa mwanya huo. Niko tayari kusahihishwa kama nimekosea maana mie sio mwanasheria lakini naisoma katiba.
   
 2. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #2
  Jan 7, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Jamani mbona hakuna hata mmoja anayeweza kueleza? Je, bunge lililopita lilikuwa halina meno au halikujua haki zake?
   
Loading...