Bunge lilikuwa wapi miaka yote hii hadi Rais Magufuli anakuja kubaini madudu mengi hivi?

Hakuwa na madaraka makubwa kama sasa!!
Mbona wazalendo wa kweli wakina lissu na kina zitto haya madudu walikuwa wanayasema.....kumbe hao ndo wazalendo wa kweli wanaodiriki kusema hata kama hawana madaraka makubwa...siku wakipewa hayo madaraka makubwa watafanya mara 100 ya anayoyafanya magufuli
 
Mbona wazalendo wa kweli wakina lissu na kina zitto haya madudu walikuwa wanayasema.....kumbe hao ndo wazalendo wa kweli wanaodiriki kusema hata kama hawana madaraka makubwa...siku wakipewa hayo madaraka makubwa watafanya mara 100 ya anayoyafanya magufuli
Hao mkuu ni vidampa!! Si unajua tena ukiwa kidampa unapiga kelele ile mbaya! Hata uwaziri hawajapata hivyo huwezi tambua kama ni wazalendo au la?
 
halafu kuna mtu alikuwa mwenyekiti wa kamati ya bunge ya kufatilia mashirika ya umma halafu sasa hivi anajifanya mkosoaji.
kwa kifupi wabunge walikuwa wapigaji walikuwa wanadanganywa na rushwa waliyokuwa wakipewa ndio maana wanaona vyuma vimekaza

Alafu kuna mwingine alikuwa waziri kwa mda wote Leo anajifanya kushangaaa haya mambo yametokeaje..... hah hah hah Hah
 
Magufuli akamate panga lake na anoe vizurii, 2020 AKate wabunge wote wa CCM wakatusaidie kwenye UJASILIAMALI maana mitaji wameshapata.
Aje na list mpya ya vijana na watu wa makamo watakaoenda na spidi yake kule mjengoni, vyenginevyo atakuwa a napiga hatua moja mbili , halafu wanamrudisha nyuma hatua kumi.
 
Hao mkuu ni vidampa!! Si unajua tena ukiwa kidampa unapiga kelele ile mbaya! Hata uwaziri hawajapata hivyo huwezi tambua kama ni wazalendo au la?
Hata magu ni kidampa pia coz ni mpiga kelele tu kila siku kuwa uchumi unakuwa wakati maisha mtaani yanazidi kuwa maguu
 
Kuna uwezekano alikuwa anayaona lakini uwezo wa kuyashughulikia hakuwa nao kwa sasa uwezo anao kama Rais.

Kwahiyo ili kushughulikia matatizo ya nchi hii inabidi usubiri mpaka uwe rais!?
 
Rais wa Tanzania ana nguvu sana. Ukipingana nae huna future. Huna maisha. Atakacho kina kuwa. Magufuli mwenyewe alikuwa analijua hilo. Angekuwa ngangari kinoma kwa mabosi wake kikwete na pinda saa hizi huenda angekuwa mwalimu wa shule moja kule geita akifundisha somo la kemia.

Lakini MPE mtu MTU madaraka au fedha ndo utajua Yeye ni nani.

Kipindi hiki magufuli anapojionyesha Rangi yake halisi wale wote popote walipo wapinga wizi, rushwa na matakataka mengine wanaweza kuibuka na kushamiri maana bosi wa juu huo ndio mtazamo wake. Kipindi cha nyuma walipokuwa wanashamiri na kudumu ni wezi, wala rushwa na wazembe

Ile rushwa ya madiwani wa Arusha ule ushahidi mbona tumeona sio mpigana na rushwa kweli?
 
Mkuu, magufuli kuna mambo alijaribu. Lakin wakuu wake walimfunga mdomo. Mfano mkandaras kuuziwa kifusi barabara ya mtwara, sakata la samaki, kugoma kupokea barabara ya lami iliyojengwa chini ya kiwango. Lkn wakuu wake hawakumpa suport.

Kama hana uchu wa madaraka angejiuzulu.
 
tindo una chuki gani na Rais Mafuguli?

tindo unatumwa na nani kila neno lako ni kumshambulia Rais Magufuli?

tindo huna hoja inayowiana na mada kuu?

tindo hao walio nyuma yako nao walikuwa madarakani enzi hizo, hawahusiki?

Rais kukosolewa ni kuwa na chuki naye? Mkuu kwakuwa ww unamsifia kwa kila kitu basi kuna anayekutuma? Kama ww unatumwa au kuwa nyuma ya mtu sio wote. Kwangu mimi siungi mkono mtu yoyote ambaye ni adui wa demokrasia hata afanye nini. Kama ww unaishi kwa kujipendekeza ni haki yako lakini sio mimi. Kama unadhani namkosoa rais labda niko nyuma ya Lowassa basi umechemsha. Simkubali na wala sijawahi kumkubali Lowassa na msimamo wangu uko wazi hapa jukwaani.
 
Kwahyo ina maana ukiwa waziri ukiona ufisadi ukae kimya kisa sio kazi yako???
Soma nilichokiandika ukielewe.Kazi ya Waziri si kuikosoa serikali bali yeye ndo anapaswa kurekebisha kasoro zilizopo. Mbunge ndo anao wajibu wa kuikosoa serikali
 
Soma nilichokiandika ukielewe.Kazi ya Waziri si kuikosoa serikali bali yeye ndo anapaswa kurekebisha kasoro zilizopo. Mbunge ndo anao wajibu wa kuikosoa serikali
Je ni lini Magufuli alirekebisha kasoro alipokuwa waziri ??? Mbona mwigulu kwenye Escrow na bunge la katiba alikosoa serikali na kuikandia haswaaa alipokuwa naibu waziri wa uchumi!!!

Kwenye ukweli lazima usemwe haijalishi post yako ndio maana mwanasheria mkuu wa zanzibar aliikata katiba mpya pendekezwa ilihali alikuwa mtu wa serikali
 
Back
Top Bottom