Elections 2010 Bunge Likiisha Tu, Kupima Mimba na Ngoma

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
Mwaka huu na kuendelea, kila baada ya kuahirishwa kwa vikao vya bunge, kufanyike upimaji wa mimba na Ukimwi kwa lazima.

Tunataka tujua kama kweli wabunge wote 95+ wa viti maalumu, wanakwenda kutunga sera ama kuchakachuliwa tu?
 
Kuchakachuliwa tu!
 
hahahahaha kaka ndo maisha hayo wenzio wameenda. Na kuchakachua au kuchakachuliwa ni mambo binafsi. Ila sema issue nzima ya viti maalum haina tija.
 
hahaaaaa nimeipenda sana hiyo ya kupima mimba..kwa maneno mengine wanapenda kupigwa kavu kavu au
 
Mwaka huu na kuendelea, kila baada ya kuahirishwa kwa vikao vya bunge, kufanyike upimaji wa mimba na Ukimwi kwa lazima.

Tunataka tujua kama kweli wabunge wote 95+ wa viti maalumu, wanakwenda kutunga sera ama kuchakachuliwa tu?
hiyo ni kuwanyanyapaa vijana kwani miaka yote suala la kuchakachauana Dodoma lipo pale pale. What is so special mwaka huu au kwa kuwa vijana wemeingia bungeni kwa wingi?.
 
Mwaka huu na kuendelea, kila baada ya kuahirishwa kwa vikao vya bunge, kufanyike upimaji wa mimba na Ukimwi kwa lazima.

Tunataka tujua kama kweli wabunge wote 95+ wa viti maalumu, wanakwenda kutunga sera ama kuchakachuliwa tu?
NG'WANANGWA,
Kuna mtu anaingilia ID yako nini!:glasses-nerdy:..sidhani kama ni wewe umetunga hii!
 
Back
Top Bottom