Bunge letu

yjreuben

New Member
May 27, 2015
4
1
Kuna chombo fulani kipo pale bungeni kabla hujaingia kwenye kiti cha spika kiko mbele hapo in short mwonekano wake kina rangi ya dhahabu wana JF mnisaidie

1) Kinaitwa je?

2) Kina maana gani ?

Maana kuna wakati wabunge wana simama kina wekwa kwenye droo (means they respect it) baada ya kumaliza kupitisha hoja zao kilekile kinatendeka wana kiweka juu tena wana endelea.Yaani sielewi kabisa huwa kuna maana gani kufanya hivyo .
 
Ujinga mtupu. Mzungu kaja nalo wanaiga tu. Unapigia saluti uchawi wa kidhungu bika kujua maana yo yote.
 
Afadhali ya hilo dude la bunge kuliko mwenge uenezao ukimwi kutwa kucha.
 
Wadau wa JF vipi humu ndani kumekua na ka uzito Fulani juu ya kuchangia hoja na changamoto mbalimbali amkeni jamani
Mimi binafsi naamini hoja na changamoto zilizo humu zinatusaidia kujijenga kifikira kwa ?upande mwingine au sio hivyo? members wa JF
 
Sasa kama hatujui jibu na picha haujaweka kujua unaongelea nini unataka tutunge?
 
Ile inaitwa MACE ikiwa juu inaashiria bunge lipo in session ukiwa huioni basi bunge linakua sio bunge ila ni kamati ya ku deliberate jambo
 
Wabunge wengi wamezidi kwa utoro. kikao cha jana idadi kubwa ya viti vilikuwa tupu.

watutendee haki na sisi wapiga kura
 
Lile linaitwa Mace kizungu Siwa Kiswahili,ni utaratibu uliopokelewa kutoka ugiriki ya kale pale wananchi wa kawaida wanapotaka kusema yaliyo moyoni mbele ya mtawala wao.utaratibu ni kwamba unashika mkogojo maalum wa mfalme wakati wa kutamka unayo taka kutamka na hapo huto hukumiwa kwa uhaini au lolote lile ,endapo utatamka bila kuwa na mkongojoule na maneno hayo yakawakwaza watawala basi hapo shingo yako halali yao!Enzi hizo wagiriki hawakuwa na demokrasia ya uwakilishi ,kila mtu alishiriki.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom