Bunge letu nini kitajiri endapo hakutakuwa na wabunge Kambi ya upinzani.

VAPS

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
5,610
13,160
Bashiru na genge lake wanatamani sana pasiwepo na mbunge hata mmoja toka kambi ya vywama pinzani. Wapo tayari kutumia garama yeyote kutimiza adhima yao.Nini kitajiri endapo hilo litatimia? Je pato la Mtanzania litakua kwa kasi zaidi? Viwanda vitashamiri gafla? Ujenzi SGR utaongeza kasi zaidi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baraza la wakilishi kule Zanzibar wamo wenyewe na wanapitisha hoja wenyewe wanapiga makofi kucheza kukata mauno pekeyao wakati ukitizama hali ya uchumi inazidi kuzorota maisha magumu elimu mashuleni hamuna watu hawana uhakika ya mlo mmoja kazi iliyobakia ktk baraza la wakilishi ni kumjadili Maalim seif ndilo wanaloweza tuu lkn maendeleo hawana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HAKUTAKUWA NA MAENDELEO BALI MAPAMBIO YA KUMTUKUZA MWEYE CHAIR WAO WA KIJANI.Na taifa litakuwa jehanam ya hapa duniani
 
tapatalk_1582623324418.jpeg
 
Bunge lijalo haliwezi kukosa Wapinzani ila Kamati ya Nidhamu chini ya Mzee Mangula itachuja majina kwa kushirikiana na Mamlaka za nidhamu za Nchi kuhakikisha tunapata Wapinzani Wazalendo sio Vibaraka wa Mabeberu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bunge la china ni la chama kimoja, je maendeleo hawana? Tanzania tuliingia kwenye vyama vingi ili tupate misaada ya kifedha toka benki ya dunia, IMF na mashirika mengine mengi.
 
Bashiru na genge lake wanatamani sana pasiwepo na mbunge hata mmoja toka kambi ya vywama pinzani. Wapo tayari kutumia garama yeyote kutimiza adhima yao.Nini kitajiri endapo hilo litatimia? Je pato la Mtanzania litakua kwa kasi zaidi? Viwanda vitashamiri gafla? Ujenzi SGR utaongeza kasi zaidi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Crap!
Tatizo lenu mnaimani ya kupata huruma toka ccm
Haitatokea ccm wakawaza kuwaache wapinzani wastawi na hivyo hivyo wapinzani wanahaha kuing'oa ccm ndio siasa mwana bavicha
 
Bunge la china ni la chama kimoja, je maendeleo hawana? Tanzania tuliingia kwenye vyama vingi ili tupate misaada ya kifedha toka benki ya dunia, IMF na mashirika mengine mengi.
Mkuu historia ya China ni tofauti na yetu. Wenzetu wana uwezo kutekeleza sheria ngumu mfano kunyonga wala rushwa, kwa ccm hii tunauthubutu maamuzi magumu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom