Bunge letu na english.

rito

Member
Apr 13, 2009
79
7
Wabunge wetu katika bunge la Tanzania tujifunze kujieleza kwa kiingereza maana inatisha na kutia kinyaa. Leo kuna wabunge kadhaa pamoja na madam speaker wamekua wakijikoroga kujieleza kwa kimombo na hata pale speaker aliposema honorable mchu.. reverend.. Hii inaonyesha ni jinsigani wabunge wanapojichanganya hata kwenye mikataba aukuwasiliana na wageni. ipendekeze kuwe na debate za kimombo ili kuwawezesha wawe na flow nzuri ya lugha za kigeni kama kimombo.
 
Kwani kuna ulazima gani wa wao wajue kujieleza Kiingereza? Hata Rasimu ya Katiba Mpya imesema kwamba Lugha ya Taifa ni Kiswahili!
 
Hivi umombo ndio uelewa?

Unaweza focus kujipamba wakati kumbe umesahau kuoga, watch out.
 
Mimi nashauri tuanze kuingia mikataba na wawekezaji kwa kiswahili,
Wageni ndio waanze kuhangaika kujifunza kiswahili.!
 
Wabunge wengi walifoji vyeti vyao vya kumaliza elimu ya juu/unategemea nini?
 
to be honest, wabunge wajue kingereza jamani ndio maana serikali mara kwa mara inaingia mikataba mibovu kumbe tatizo ni lugha.
 
Sifa ya kuwa mbunge "uwe unajua kusoma na kuandika" kuwa bubu sio tatizo.
 
Your educational achievements(certificates) has nothing to do with your fluency in a language.knowing how to write or read it has also nothing to do with how fluently you can communicate orally in that language.
 
Chingereza cha kuongea ni tafauti na kusoma bwana. Confidence inahusika. Ni kweli ukiwa na akili unafanya biashara kwa sign language tu na unapata faida. Tatizo ni akili matope zilizochanganyika na mchuzi, lugha sio kikwazo kikubwa.
kama doc ipo kwa lugha ya umombo utaelewaje?
 
He he he, ningekuwa PM ningekusimulia kitu

Back
Top Bottom