BUNGE LETU LA JMT NI KWELI LINAELEKEA hukoooo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

BUNGE LETU LA JMT NI KWELI LINAELEKEA hukoooo

Discussion in 'Jamii Photos' started by Ukwaju, Jul 20, 2012.

 1. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Mtandao wa wavuti umetupatia picha hii ya mabala wa mabalaa, je? kweli ni ya Bunge Letu/ na ndio tunakoelekea
  • Mitusi ya Nguoni
  • Kukatika viuno ukum
  • Kuonyeshana vidole vya kati
  • Mwenye kigoda kutupa hoja za washim
  • vurugu vululuvululuuuuuuuuuuuu
   
 2. Wilbert1974

  Wilbert1974 JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 1,607
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Naona akina Mama hapa wanacheza kiduku eeh!
   
 3. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #3
  Jul 21, 2012
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,982
  Likes Received: 20,377
  Trophy Points: 280
  Hii ndo picha halisi ya bunge letu! Wenye nafuu ni wachache na bahati mbaya hawatoki kwenye kundi la wengi
   
 4. Gwangambo

  Gwangambo JF-Expert Member

  #4
  Jul 21, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 3,655
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Mwenye hilo gamba la kijani atakuwa Komba huyo!
   
 5. Averos

  Averos JF-Expert Member

  #5
  Jul 21, 2012
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 648
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  Better this than mipasho of Ours!
   
 6. Jiwe Linaloishi

  Jiwe Linaloishi JF-Expert Member

  #6
  Jul 21, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 3,736
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  safari bado ndefuu tuombe uhai twaweza yaona
   
Loading...