Abul Aaliyah77
JF-Expert Member
- Mar 9, 2019
- 591
- 392
Hakuna tofauti kwa kuwa ni taifa la wajinga na matakatakaKwani wakienda huko au wakibakia bungeni kuna tofauti gani?!
@bunge_tz limeahirishwa saa 4.45 kisa ni wabunge wa CCM wanakwenda kukutana na Mkt wa chama Ndg @MagufuliJP kumbuka wabunge Leo watajilipa posho zaidi ya mil 90 pesa za walipa kodi watanzania ili hali wanafanya kazi za chama. Haya ni matumizi mabovu ya Pesa zetu
#2020CCMMustGo.
Kwani hao watu hawapaswi kuongea na Watanzania?nakubaliana na wewe lakini yule ndugai naona kama anatumwa tuu.
bado naamini bwana JOHN POMBE MAGUFULI ana matatizo makubwa sana.
ivi kulikuwa na ulazima gani wa kumpamdisha CDF Jukwaani kuwatisha watu? iv panaulazima wwte wa kumpa DG Wa TISS mike kisa tu kasoma kigonsera?
Wananchi mngeamka mdai/,tudai katiba mpyaSpika amekurupuka sana suala la CAG.
Lisipochukuliwa kwa umakini litaipotezea CCM na serikali yake heshima ,huku wabunge wa CCM na madiwani wao wakitegemea Mbeleko za kura za bunduki , risasi na mabomu badala ya Karatasi na kalamu.
Kiburi chote cha Ndugai na Wabunge wa CCM ni kutegemea kura za bunduki,risasi ,mabomu na virungu lakini wananchi wanachukizwa sana na tabia yao ya kupuuza maoni ya wananchi huku akiweka mbele maslahi yao.
Kuna tofauti gani na wapinzani waliokataa kufanya kazi na Mh. Rais na kutoka nje wakati wa kulifungua bunge?
Wabunge wa CCM nao wameanza kususia wateule wa Rais ? Huku ni kumhujumu Rais waziwazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
CAG kazua taflani mpaka awamu yote ya 5 imechanganyikiwa
Namhurumia sana Prof. Assad. Najihurumia mwenyewe kuwa mtanzania, nawahurumia watanzania tuakavyoteseka chini ya majinamizi ya CCM, Naumia jinsi watanzania tunavyonyanyasika na kodi zetu kuchezewa kijinga hivi.
Na posho za Leo walipwe na chama chao siyo bunge.
Kama CCM ni gari basi kazi kubwa ingekuwa kulegeza tairi ili likifika hapo mbele liingie kwenye korongo tujue moja.
Hakuna adui mkubwa wa nchi hii kama CCM, hili ni genge la watu hatar kuliko kundi la chatu pori.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mijitu zaidi ya mia3 inaogopa zile pages za ripoti ya cag na sijui kwnn hii ripoti inasomwagwa hahahaaa akili za ndugai tu hizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wakienda huko au wakibakia bungeni kuna tofauti gani?!
Bunge dhaifu .bunge limeahirishwa saa 4.45 kisa wabunge wa CCM wanakwenda kukutana na Mkt wa chama Dk Magufuli kumbuka kuwa wabunge Leo watajilipa posho zaidi ya mil 90 pesa za walipa kodi watanzania ili hali wanafanya kazi za chama. Haya ni matumizi mabovu ya Pesa zetu.
Haiwezekani wabunge Leo waone vikao vya maslahi ya taifa tena kikao cha Bajeti cha taifa hakina maana yoyote ila kikao cha chama ndio kina maana sana, Leo wabunge wao watajilipa posho bila kuifanyia kazi yoyote,
Sent using Jamii Forums mobile app