Bunge Leo laahirishwa Sababu wabunge wa CCM wanaenda kufanya kazi za chama na posho wamechukua

bunge limeahirishwa saa 4.45 kisa wabunge wa CCM wanakwenda kukutana na Mkt wa chama Dk Magufuli kumbuka kuwa wabunge Leo watajilipa posho zaidi ya mil 90 pesa za walipa kodi watanzania ili hali wanafanya kazi za chama. Haya ni matumizi mabovu ya Pesa zetu.

Haiwezekani wabunge Leo waone vikao vya maslahi ya taifa tena kikao cha Bajeti cha taifa hakina maana yoyote ila kikao cha chama ndio kina maana sana, Leo wabunge wao watajilipa posho bila kuifanyia kazi yoyote,

Sent using Jamii Forums mobile app
WONDERS WILL NEVER END IN TZ
 
Sasa si bora kazi ya chama kujadili watatekeleza vp ahadi zao kwa wananchi kuliko kuliko wale wa ufipa wanaamua kususa na kutoka unawakuta chako ni chako au malaika wakijinywea mabia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bunge limeahirishwa saa 4.45 kisa wabunge wa CCM wanakwenda kukutana na Mkt wa chama Dk Magufuli kumbuka kuwa wabunge Leo watajilipa posho zaidi ya mil 90 pesa za walipa kodi watanzania ili hali wanafanya kazi za chama. Haya ni matumizi mabovu ya Pesa zetu.

Haiwezekani wabunge Leo waone vikao vya maslahi ya taifa tena kikao cha Bajeti cha taifa hakina maana yoyote ila kikao cha chama ndio kina maana sana, Leo wabunge wao watajilipa posho bila kuifanyia kazi yoyote,

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwani Prof Asad alikosea aliposema Bunge ni dhaifu?!!😁😁
 
bunge limeahirishwa saa 4.45 kisa wabunge wa CCM wanakwenda kukutana na Mkt wa chama Dk Magufuli kumbuka kuwa wabunge Leo watajilipa posho zaidi ya mil 90 pesa za walipa kodi watanzania ili hali wanafanya kazi za chama. Haya ni matumizi mabovu ya Pesa zetu.

Haiwezekani wabunge Leo waone vikao vya maslahi ya taifa tena kikao cha Bajeti cha taifa hakina maana yoyote ila kikao cha chama ndio kina maana sana, Leo wabunge wao watajilipa posho bila kuifanyia kazi yoyote,
Wawepo bungeni, wawe nje yote sawa. Wameenda kufundishwa kuweka maazimio.

Na kuhusu bajeti, inasaidia nini hata wakiijadili?
 
Hacheni kulalamika. Upinzani ungekuwa na significant number of parliamentarians at least to qualify a quorum, Bunge lisingeahirishwa [technically]. Kinachoitwa kuahirishwa kwa kikaocha Bunge ni technical kwa sababu ukiondoa wabunge wa CCM, wabunge wa upinzani hawafikii ikidi ya kuendesha kikao cha Bunge!

Akina Mbowe waliamua kuhujmu UKAWA ili wapate pesa kisha upinzania ukashindwa vibaya. Laana ya kushindwa huendelea hadi uchaguzi unaofuata. Anayekubali kuendelea kuongozwa na akina Mbowe anatafuta kuendelea kulalamikia washindi wa CCM bila kuwa na jitihada zozote za kujinasua. Wanachopata wabunge wa CCM ni motisha unayotokana na chama chao kushinda uchaguzi Mkuu, 2015. Viongozi wenu wakiendekeza tena malengo [yaliyojificha] ya kuvuna pesa badala ya kutafuta, kusimamia na kuvuna kura, wanachama/wafuasi wao hamtakuja kuacha kulalamika daima.
 
Hivi
bunge limeahirishwa saa 4.45 kisa wabunge wa CCM wanakwenda kukutana na Mkt wa chama Dk Magufuli kumbuka kuwa wabunge Leo watajilipa posho zaidi ya mil 90 pesa za walipa kodi watanzania ili hali wanafanya kazi za chama. Haya ni matumizi mabovu ya Pesa zetu.

Haiwezekani wabunge Leo waone vikao vya maslahi ya taifa tena kikao cha Bajeti cha taifa hakina maana yoyote ila kikao cha chama ndio kina maana sana, Leo wabunge wao watajilipa posho bila kuifanyia kazi yoyote,

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi wale wanaogoma na kusepa ndani ya bunge huwa wanafanya vizuri kweli mapenzi ya chama yatawaua yaani Binadam Kazi kweli jambo lifanywe na wao sawa.hujui ubunge ni wa chama nyie Kazi yenu kelele hatazisizo na maana et watalipwa posho za wananch ujinga huu nendeni na ujinga huko.mtalalamika hadi mpasuke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapinzani wanaona wivu na vyama vyao vya roho mbaya mbaya
 
bunge limeahirishwa saa 4.45 kisa wabunge wa CCM wanakwenda kukutana na Mkt wa chama Dk Magufuli kumbuka kuwa wabunge Leo watajilipa posho zaidi ya mil 90 pesa za walipa kodi watanzania ili hali wanafanya kazi za chama. Haya ni matumizi mabovu ya Pesa zetu.

Haiwezekani wabunge Leo waone vikao vya maslahi ya taifa tena kikao cha Bajeti cha taifa hakina maana yoyote ila kikao cha chama ndio kina maana sana, Leo wabunge wao watajilipa posho bila kuifanyia kazi yoyote,

Sent using Jamii Forums mobile app
Ujinga unakusumbua ina maana wabunge wa chadema wameacha hizo fedha?umesema mwenyewe wameahirisha tatizo liko wapi?au hujui maana ya kuahirisha?hiyomidomo malaya yenu kila kitu mnaleta humu au mnaropoka mwishoni mtavaa shang

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom