MwanaWA Ebrania
JF-Expert Member
- Oct 6, 2017
- 940
- 1,138
Hakuna kabisa bora waende tu!Kwani wakienda huko au wakibakia bungeni kuna tofauti gani?!
Wakakopeshwe mashangingiNa wabunge wa upinzani wanaruhusiwa kukutana na mwenyekiti wao MBOWE...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkwala wa maana lazima uchimbwe kikaoni..Wakuu Bunge limehairishwa muda Huu. Kuna Kikao cha Dharura cha Wabunge wa CCM na Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Dr John Pombe Joseph Magufuli. Stay Tuned
Ujasiri wa Mbwa koko unaenda kumponzaCAG kazua taflani mpaka awamu yote ya 5 imechanganyikiwa
Kumbe hata mwenyekiti wa upinzani akikutana na wabunge wake, Spika anahairisha bunge sio!?Na wabunge wa upinzani wanaruhusiwa kukutana na mwenyekiti wao MBOWE...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa jamaa wameshindwa kwa kulaumu, hawana msimamo ni watu wa kuendeshwa na matukio tu...Wakakopeshwe mashangingi
Thubutu, wataishia kupigwa BAN ya maisha...Kumbe hata mwenyekiti wa upinzani akikutana na wabunge wake, Spika anahairisha bunge sio!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Loh!
Ni Kikao Cha Kawaida Kukutana na Wabunge Wakat M/kiti Wa Ccm anapokuwa DodomaNdicho tulichosema tangu seke seke la Assad lianze
Unafanyaje maamuzi makubwa ya kuja na Azimio bila ya Kibali cha Kamati ya Wabunge wa Chama?
Kuna Mtu atasulubiwa vya kutosha bila ya Shaka
Wakirudi Bungeni Wabunge waelezwe kujikita kwenye Mjadala sio kejeli kwa CAG
Ni Kikao Cha Kawaida Kukutana na Wabunge Wakat M/kiti Wa Ccm anapokuwa Dodoma
Sent using Jamii Forums mobile app
CC; Pohambanakubaliana na wewe lakini yule ndugai naona kama anatumwa tuu.
bado naamini bwana JOHN POMBE MAGUFULI ana matatizo makubwa sana.
ivi kulikuwa na ulazima gani wa kumpamdisha CDF Jukwaani kuwatisha watu? iv panaulazima wwte wa kumpa DG Wa TISS mike kisa tu kasoma kigonsera?
Sasa ndio muifanye hoja? Kwani kuna shida kukutana na bosi wao??Mkuu kwani ni hoja au ni reality? si kweli kuwa limeairishwa kwa ajili ya wabunge pamoja na spika wao, kukutanana na mwenyekiti wao wa chama.