Tumbo Tumbo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 1,278
- 1,553
Wakuu Bunge limehairishwa muda Huu. Kuna Kikao cha Dharura cha Wabunge wa CCM na Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Dr John Pombe Joseph Magufuli. Stay Tuned
Na wabunge wa upinzani wanaruhusiwa kukutana na mwemyekiti wao MBOWE...
Sent using Jamii Forums mobile app
Spika dhaifu atimuliwe maana hakuna namnaWakuu Bunge dhaifu Linaloongozwa na Spika JN limehairishwa Mda Huu. Kuna Kikao cha Dharura cha Wabunge wa CCM na Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Dr John Pombe Joseph Magufuli. Stay Tuned
Sent using Jamii Forums mobile app