Bunge lavunjwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bunge lavunjwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Jul 16, 2010.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Jul 16, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Rais Kikwete atavunja Bunge leo kuashiria kuwa huu ni mwaka wa uchaguzi mkuu. Jambo moja ambalo nimeamini lina make sense kuanzia sasa ni kuwa hakutakuwa na uhalali wowote wakufanya tena vikao vya bajeti kwa miezi mitatu kama tunaweza kuvifanya kwa wiki tano na tena tukanikisha vizuri. Kwa hili Bunge imeonesha njia ya kufuata.


  Tunasubiri kusikia/kuonahotuba ya Kikwete ya kuvunja Bunge itakavyokuwa na majigambo ya mafanikio ya serikali yake. Lakini zaidi ni nahamu ya kusikia maono yake ya Bunge jipya yatakuwaje. Kuna baadhi ya wabunge ambao kwa kweli sitosikitika kama hawatorudi Bungeni na wengine wasiporudi itakuwa ni masikitiko.

  Vyovyote vile ilivyo, leo yawezekana ni mwanzo wa mabadiliko tunayoyataka; au yaweza kuwa ni marudio ya tulikotoka.

  Tusubiri Vitu!
   
 2. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2010
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Asante Mwanakijiji kwa hii info. Kwa ratiba ilikuwa inaonyesha ya kwamba bunge lilikuwa limalize vikao vyake 07/30/2010. JK anavunja hilo Bunge saa ngapi leo?
   
 3. Nyuki

  Nyuki JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2010
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bunge linavujwa rasmi tarehe 1.8.2010 leo anahutubia bunge kwa mara ya tatu toka ashika madaraka ya juu nchini mwetu
   
 4. Shalom

  Shalom JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2010
  Joined: Jun 17, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hilo kwake sio kubwa sana kuongea bila pingamizi lolote ni bingwa sana.

  Hivi jamani hivi kukodi saa moja na nusu muda wa luninga inaweza kuwa kama ni Tshilling Ngapi vile? Hivi kwa nini jamani sisi watu wa jamii forums tusiandaye mdahalo mwaka huu na at least kufanya kitu fulani zaidi ya kubwabwaja tu. Kwa mfano ikiwa ni TZS 30m Itahitaji watu kama 200 hivi kuchanga kama dola $100. Kama mgombea wa CCM hataonekana basi na iwe hivyo lakini sisi tuwe tumefanya kazi yetu.
   
 5. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #5
  Jul 16, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Shalom.. hilo pendekezo si itabidi lipigiwe kura na wana JF wote, na wengi wataanza kupinga kwanini JF inafanya hivyo kwa sababu itatishia usalama wao? Maana kwenda tu Bungeni imekuwa vurugu ingekuwa ni kupanga midahalo ya wagombea si ndo ingekuwa songombingo
   
 6. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #6
  Jul 16, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  MM thanks, you have gone an extra mile. Wataje basi kwa majina, ngoja nikusaidie wachache....
  1.Fuya Kimbita will be replaced by Mr. Mbowe
  2.Charles Keenja will be replaced by John Mnyika
  3.Mchungaji Mwanjali will be replaced by Advocate Sambee Shitambala
  4.Monica Mbega replaced by Mchungaji Peter Msigwa
  5.
  6.
  7.
   
 7. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #7
  Jul 16, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Umenistua sana MKJJ kumbe kulikuwa na bunge linaendelea mimi nilidhani ule mkutano wa sisiem ndio leo unavunjwa na Kikwete maana ulifunika mambo yote ya bunge.
   
 8. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #8
  Jul 16, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,573
  Likes Received: 18,467
  Trophy Points: 280
  .
  Maximum concetration ya live politic on TV ni one hour.
  One Hour live on ITV, TZS-8,000,000
  One Hour live on Star TV, TZS-6,000,000
  One Hour live on TBC, TZS-4,000,000
   
 9. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #9
  Jul 16, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,573
  Likes Received: 18,467
  Trophy Points: 280
  Nyuki, Bunge linavunjwa rasmi leo, ila uhai wa Bunge hili, unaisha 31, July, 2010. Hii inamaanisha wabunge wanaweza kuendelea na shughuli za kibunge mpaka muda huo. Kuanzia 1/08/2010 wanakuwa sio wabunge tena. Makatibu Wakuu ndio waendeshaji wa mawizara huku Mawaziri wanaendelea kinyemela kwa magari yao kuondolewa vibao vya uwaziri na kupigwa STH, ila hawaruhusiwi kuyatumia kwenye shughuli za kisiasa.
   
 10. Shalom

  Shalom JF-Expert Member

  #10
  Jul 16, 2010
  Joined: Jun 17, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Asante Pasco kwa taarifa. Si unaona sasa TZS 8,000,000 tu. Nadhani tunahitaji watu 80 tu kuchangia laki moja na mdhalo unakuwa hewani ila unabidi uwe saa moja na nusu kwa experience yangu.
   
 11. N

  Nasolwa JF-Expert Member

  #11
  Jul 16, 2010
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,830
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kikao cha kuvunja bunge kitaanza leo mnamo saa kumi jioni
   
 12. Shalom

  Shalom JF-Expert Member

  #12
  Jul 16, 2010
  Joined: Jun 17, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mwanakijiji huu uwoga wetu ndiyo unaotufanya tunakuwa nyuma hata ya Kenya, Rwanda na Uganda. Je tuwaaachie waoga watutawale! au baazi yetu tuwe kama Kalebu na kuanza kuona mwisho kutoka mwanzo?
   
 13. M

  Msengapavi JF-Expert Member

  #13
  Jul 16, 2010
  Joined: Oct 23, 2008
  Messages: 4,807
  Likes Received: 2,752
  Trophy Points: 280


  Hili ni wazo zuri na kwa kweli inabidi tuufike mahali tuondoe woga, kisha wana JF tufahamiane, tujipange, na kisha tuandale mdahalo. 8M si hela nyingi sana: consider this inspirational poem by C. W. Longenecker:

  If you think you are beaten, you are.
  If you think you dare not, you don't.
  If you like to win but think you can't,
  It's almost a cinch you won't.
  If you think you'll lose, you're lost.
  For out in the world we find
  Success begins with a fellow's will.
  It's all in the state of mind.
  If you think you are out classed, you are.
  You've got to think high to rise.
  You've got to be sure of your-self before
  You can ever win the prize.
  Life's battles don't always go
  To the stronger or faster man.
  But sooner or later, the man who wins
  Is the man who thinks he can.


  If anyone can, JF can!
   
 14. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #14
  Jul 16, 2010
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,009
  Trophy Points: 280
  .
  5Amani Karume will be represented by Maalim Seif
   
 15. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #15
  Jul 18, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0

  Mkuu mbona umeonw wachadema tu? Au wewe ndo wale wale?
   
 16. I

  Ikena JF-Expert Member

  #16
  Jul 22, 2010
  Joined: Oct 24, 2007
  Messages: 482
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 60
  Naomba kuuliza wakuu, ivi bunge likivunjwa mfano trh 31/07/ je na rais aliyepo madarakani nae anaendelea kuwa rais au naye kikomo chake kitakua kimefika mpaka baada ya uchanguzi na kuapishwa?

  Na kama kikomo cha urais unaishia baada ya kuvunjwa bunge, mbona Mh rais mstaafu Mkapa aliongezewa muda (japo tunajua ni kwasababu ya kifo cha mgombea mweza) wa kuongoza nchi? wakati huo si bunge lilikua limevunjwa!.
   
 17. I

  Israel Godwin Kimani Member

  #17
  Apr 1, 2014
  Joined: Feb 9, 2014
  Messages: 11
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 3
  Bora bunge livunjwe maanake awa mafala wanakula hela zetu bure tt.
   
 18. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #18
  Apr 1, 2014
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Ismail Jussa bila shaka atakuwa Rais wa Znz na Tundu Lissu Rais mteule wa Tanganyika katika kipindi cha mpito kuelekea Sirikali tatu.
   
Loading...