Bunge launda kamati kuchunguza kashfa ya ufisadi NSSF

Faiza fox,mohamed said na watetetezi wengine wa ufisadi,nendeni bungeni mkazuie dau kuchunguzwa.
IMG_20161110_050511.jpg
 
Hamna la maana hapo, wameshindwa kufanya mambo ya muhimu na sass wanaleta chuki binafsi kwa sababu ya udini tu hamna lolote hapo.
 
Mtabiri wa chadema.bhana, inaonekana imani yake imepungua mbona nachemka
 
Hamna la maana hapo, wameshindwa kufanya mambo ya muhimu na sass wanaleta chuki binafsi kwa sababu ya udini tu hamna lolote hapo.
Wameshindwa kutetea wananchi kuhusu ujambazi wa fao la kujitoa....waache sifa za hovyo
 
Hivi mpaka awamu hii bado kamati na tume za uchunguzi zinaundwa!!!! Si tuliaminishwa kuwa hakutakuwa na mambo hayo tena
 
hawa akina maji marefu,kangi,na sanga walioishia darasa la saba watachunguza nini?
 
Hamna la maana hapo, wameshindwa kufanya mambo ya muhimu na sass wanaleta chuki binafsi kwa sababu ya udini tu hamna lolote hapo.
Hivi Dau kila akitajwa basi utetezi ni udini udini, jee Dau alikuwa kiongozi Bakwata au Imamu wa Masjid NSSF?
 
Hivi Dau kila akitajwa basi utetezi ni udini udini, jee Dau alikuwa kiongozi Bakwata au Imamu wa Masjid NSSF?
Waache mapoyoyo wabaki na upoyoyo wao,kitilya,mramba,yona na mahalu hawana dini EEE,dau ndo anaemjua mungu pekee,ukiona hivyo kuna jambo zaidi ya dini na wizi
 
Back
Top Bottom