Bunge latungiwa wimbo wa majibizano

Wana JK nikiwa naelekea kutumika leo nasikia nyimbo ilopewa jina la Kariakoo humo ndani ni baadhi ya mambo yanayoendelea kwenye Bunge letu Tukufu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni kweli utasikia wengine wakisema..."haituhusu, kaa chini, order pliz, kifungu gani cha umenukuu" nk nk wadau mnaweza kueleza zaidi.
Je ndio tulivyowachagua waheshimiwa watutayarishie single kama ile?
 
Shida ni Spika wa magamba amefanya bunge limekuwa kama klabu ya pombe za kienyeji. Na yeye ndiye aliyeanzisha neno la "Bunge kama kariakoo"
 
Wana JK nikiwa naelekea kutumika leo nasikia nyimbo ilopewa jina la Kariakoo humo ndani ni baadhi ya mambo yanayoendelea kwenye Bunge letu Tukufu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni kweli utasikia wengine wakisema..."haituhusu, kaa chini, order pliz, kifungu gani cha umenukuu" nk nk wadau mnaweza kueleza zaidi.
Je ndio tulivyowachagua waheshimiwa watutayarishie single kama ile?

!?????????? Umemaanisha!??
 
hiyo single itauza sana kila mtu anaiulizia, najaribu kuidownlod inagoma ila najua nitafanikiwa tu. hili bunge linaendechwa kama danguro!
 
jamani naweza kupata wapi hiyo single naitafuta sana. mwenye link anipe au kama kuna hard copy original nielekezwe niinunue wapi. nimeipenda!!
 
Jana niliusikia wimbo huo kwenye PB na LT za Clouds FM. Wameuchakachua ule wimbo baada ya Bi Mkora( Spika) kulifananisha bunge sasa na soko la Kariakoo kwa mijadala isiyodhibitika. Wahuni wengi mle Bungeni sasa hivi wakiongozwa na Mh Wenje.
 
Hakika bunge letu lina hadhi ya kijiwe cha wanafunzi watoro wa vipindi

Nimebahatika kuusikia wimbo huo kutoka kituo kimoja cha radio ukiwa umeingizwa clips za majadiliano ya mabishano bungeni kati ya spika,mwenyekiti,mawaziri na wabunge katika hoja mbalimbali...aibu!

Wimbo iunaitwa ndio Mambo ya Kariakoo
 
Huu wimbo ulipigwa jana jioni clouds,
ni ubunifu mzuri kwa kweli.
 
A%20S%20465.gif
Hata mimi nilibahatika kuusikia , kwanza nikawa nashaangaa ni kitu gani hiki. nikadhani labda bunge leo wanajadili jambo. baadaye mwishoni nikashtuka ni mziki ndo nikarekodi kipande kidogo sana ngja nijaribu kukiweka kama nitawezza maana internet ya voda matatizo matupu iko slow ka konokono. guys hebu mnielekeze jinsi ya ku attach audio file humu ama facebook ili niwape link
 
anae kataka hako ka clip atafute mtu clouds fm nisha kasikia wanakapiga,
 
dah! nimekapata vizuri sana na realplayer imefanya vyema...

yeah, wakati tunaendelea kuuinjoi ubunifu huu...tujiulize why all this?
 
Back
Top Bottom