Umeona mbaliKwani soko la Zimbabwe imekuwaje?
Mwakani mvua ni chache kutakuwa na mavuno machache, serikali inunue mahindi yote na kuyahifadhi.
ndoulaji wa ccm huo'Serikali imesikia kilio chenu' hii kauli huwa siipendi
We Mzee uziwa Mali za kijerumani umemwachia nani?umenichekesha wewe. jaribu kuomba kibali cha kufanya biashara ya mazao nje ya nchi. ndio utajua urasimu ni nini?. utatembea wewe kutafuta vibali mpaka mahindi yatakutana na ya mavuno ya mwakani hujapata kibali
Hapa umetatuaje tatizo la bei ndogo kwa wakulima?Kwani soko la Zimbabwe imekuwaje?
Mwakani mvua ni chache kutakuwa na mavuno machache, serikali inunue mahindi yote na kuyahifadhi.
😂 😂 😂'Serikali imesikia kilio chenu' hii kauli huwa siipendi