The Conquerer
Member
- Aug 16, 2012
- 79
- 94
Kuanzia juzi, bunge limepigwa na ubaridi na maeneo ya bunge yamekuwa kimya baada ya wabunge wote wa CHADEMA kutokuwepo maeneo ya bunge. Wabunge wote wa CHADEMA wapo Arusha kuomboleza pamoja na wananchi kufuatia mlipuko wa bomu uliotokea tarehe 15 Juni, 2013 katika kampeni za CHADEMA. Hata hivyo polisi waliendelea kuvunja amani kwa kuwapiga wananchi kwa mabomu hali iliyosababisha maombolezo na kuaga miili ya marehemu kushindikana kufanyika jana.
MPAKA SASA BUNGE AMBALO NI CHOMBO CHA UWAKILISHI WA WANANCHI HALIJATOA TAMKO LOLOTE, NA LIMEENDELEA KUJADILI BAJETI YA SERIKALI KAMA VILE HAKUNA JAMBO LILILOTOKEA. HATA HIVYO MAJADILIANO YANAYOENDELEA YAMEKOSA MVUTO KWA KUWA MAJEMBE YA CHADEMA HAYAPO MJENGONI. BUNGE NA MAZINGIRA YA BUNGE KWA UJUMLA YAMEPWAYA SANA.