Yupo mzee bungalaAgrey Mwanry
Kuna yule mbunge alikuwa anajiita bwege hivi alirudi mjengoni au hayupo?
Zitto huyu uliemuita msaliti acha unafikiPengo limezibwa na Zitto na Lissu!
Bunge la JMT limepoteza mvuto wake kwa kuwakosa wabunge wafuatao:
1. Kafulila
2. Ole Sendeka
3. Agrey Mwanry
4. Wassira
5. Deo Filikunjombe (RIP)
6. Anne Makinda
7. Wenje
Sijui nini kilimfanya aende ACTNammiss zaidi Mkosamali
Yani namis sana mambo yakeSijui nini kilimfanya aende ACT
Huyu jamaa na Ole Madeye kwa mtazamo wangu wanafanana, Agrey Mwanry kaponzwa na chama chake ndio maana wapiga KURA hawakumpa while Ole Madeye nae alicheza karata vizuri kwa kuhama chama, otherwise nae asingekuwepo.Agrey Mwanry sijui ni nini kimempata mzee huyu anyway ndio siasa
Oh hivi Ole Medeye ni mbunge wa wapi ??Huyu jamaa na Ole Madeye kwa mtazamo wangu wanafanana, Agrey Mwanry kaponzwa na chama chake ndio maana wapiga KURA hawakumpa while Ole Madeye nae alicheza karata vizuri kwa kuhama chama, otherwise nae asingekuwepo.