Bunge lapitisha sheria ya kuanzishwa mahakama ya ufisadi

kuna tofauti kati ya kuanzisha mahakama ya ufisadi na kutunga sheria ya ufisadi, punguzeni mihemeko
 
View attachment 360058 Kiwanja, Nyumba na matofali hayo ni mali ya makamu Mkuu wa chuo. Mali hii inatokana na ujenzi wa jengo la Umwagiliaji la Chuo cha Ufundi Arusha. Zaidi ya matofali 20,000 yaliyochukuliwaa na Mkuu na Makamu Mkuu wa chuo

View attachment 360061 Viwanja hivi ni mali ya Mkuu wa chuo na vinatokana na ujenzi wa jengo la Umwagiliaji la Chuo cha Ufundi Arusha. Matofali yaliyochukuliwa na Mkuu wa chuo yalijenga nyumba ya Mkuu wa chuo iliyopo Njiro Arusha.
Mbona unaonekana kama una personal vendetta! You are over obsessed with it. Ni wewe tu unayeyaona hayo?
 
Wanapitisha sheria wenyewe halafu zikianza kutumiwa na Mahakama wanaomba miongozo bungeni eti adhabu ndogo. Sijui tatizo elimu huwa hawajui wanacho pitisha au kushangilia tuu bungeni.
 
Back
Top Bottom