Bunge lakanusha kuhusika na Asasi ya FOCUS VICOBA

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Bunge la Tanzania limekanusha kujihusisha na Asasi ya utoaji mikopo ya Focus Mikopo, ikiionya kwa kitendo cha udanganyifu na uvunjifu wa Sheria za Nchi

Kauli ya Bunge inakuja kufuatia kusambaa kwa taarifa zinazohusisha Bunge, Wabunge na shughuli za Asasi hiyo katika Mitandao

Bunge limesema taarifa hizo hazina ukweli na zinalenga kulichafua na kuhalalisha vitendo vya utapeli

934150D0-BB19-46DD-9451-8ACAA0E124A7.jpeg
 
Kwani kuna bunge tena au baraza la CCM?
Bunge lilihusika Ila kwa Sasa hili Baraza la CCM Lina haki ya kukataa.
Tuna kumbukumbu ya kutosha huhusika wa wabunge na uzinduzi wa vicoba spika kabla mama makinda Alizindua vicoba mbele matajiri wa kutosha na wabunge
 
alizindua tasisi inayoitwa FOCUS VICOBA?
 
Bunge lilihusika Ila kwa Sasa hili Baraza la CCM Lina haki ya kukataa.
Tuna kumbukumbu ya kutosha huhusika wa wabunge na uzinduzi wa vicoba spika kabla mama makinda Alizindua vicoba mbele matajiri wa kutosha na wabunge
Ndugai akiwa naibu Spika?

Acha urongo wewe!
 
Bunge la Tanzania limekanusha kujihusisha na Asasi ya utoaji mikopo ya Focus Mikopo, ikiionya kwa kitendo cha udanganyifu na uvunjifu wa Sheria za Nchi

Kauli ya Bunge inakuja kufuatia kusambaa kwa taarifa zinazohusisha Bunge, Wabunge na shughuli za Asasi hiyo katika Mitandao

Bunge limesema taarifa hizo hazina ukweli na zinalenga kulichafua na kuhalalisha vitendo vya utapeli

View attachment 1727635
Taarifa imekaa kihuni haina signature haina mhuri , no wonder hata hii taasisi ni yao. Shameless
 
KWani hili nalo linahitaji kujadili muda mrefu. Tangu lini Bunge likawa na kazi ya kupitisha VOCOBA? Hata kama walipitisha, siyo kazi yao na siyo sehemu ya kutafuta uhalali.
 
Back
Top Bottom