Bunge laelezwa kuwa ajira za wageni zimezidi zinawanyima ajira watanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bunge laelezwa kuwa ajira za wageni zimezidi zinawanyima ajira watanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nikupateje, Aug 7, 2012.

 1. N

  Nikupateje JF-Expert Member

  #1
  Aug 7, 2012
  Joined: Dec 22, 2009
  Messages: 1,314
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Jama,

  Ukombozi umekuja. Sasa hivi Cecilia Parleso anaendelea kutoa hotuba ya kambi ya upinzani kuhusu Kazi na Ajira.

  Ametoa rai kwamba wampeta malalamiko yamekuwa mengi kwamba staff wageni ni wengi wanamaliza ajira nchini humu wakati wazawa wanakosa kazi.

  Kaeleza kwamba hii ni kinyume na Sheria ya Uwekezaji ya Uwekezaji namba 26 ya mwaka 2007. Kwamba kwa sheria . Ametoa mfano kwamba kuna makampuni mengi ymeajiri wahindi wakati kazi hizo zinaweza kufanywa na watanzania.

  Ametaja kampuni kama tatu tu. Lakini sasa tusaidie. Tutaje list ya makampuni yote tunayoyajua yenye mchezo huo ili kusaidia kupata picha halisi, maana amependekeza ukaguzi ufanyike kwenye kampuni zote nchini.
   
Loading...