UFUNUO WA TANZANIA
JF-Expert Member
- Apr 7, 2013
- 471
- 166
Bunge limeahirishwa baada ya vipaza sauti kutofanya kazi ukumbi mzima. Hili ni janga. Jana umeme leo vipaza sauti
Mkuu wenje katoa movie ipi tena?Movie ya "kumzima" Wenje..
Kuumwa ni kawaida hata binadamu huumwa zile ni mashine kuharibika ni jambo lisilokwepeka.
Bunge limeahirishwa baada ya vipaza sauti kutofanya kazi ukumbi mzima. Hili ni janga. Jana umeme leo vipaza sauti
Bunge limeahirishwa baada ya vipaza sauti kutofanya kazi ukumbi mzima. Hili ni janga. Jana umeme leo vipaza sauti
Ndo maana huyu hapa anajipigia usingizi baada ya kuvimbiwa ufisadi wa CCMJengo lilijengwa kwa mabilioni, lakini leo mara linavuja, mara vipaza sauti nk. Maccm kila kitu ni kufisidi na 10% kwa kwenda mbele!
Jengo lilijengwa kwa mabilioni, lakini leo mara linavuja, mara vipaza sauti nk. Maccm kila kitu ni kufisidi na 10% kwa kwenda mbele!
Kwanini hawana Spika za ziada hata kama zile za wanaouza Dawa za mende?