Bunge laahirishwa kwa vipaza sauti kutofanya kazi

UFUNUO WA TANZANIA

JF-Expert Member
Apr 7, 2013
471
166
Bunge limeahirishwa baada ya vipaza sauti kutofanya kazi ukumbi mzima. Hili ni janga. Jana umeme leo vipaza sauti
 
Serikali sikivu ya CCM ndo uwezo wake ilipofikia. Wakati huo huo Kinana anauliza na kuahidi kutatua matatizo ya wafanyakazi wa TAZARA akiwa Mbeya kumbe hata mjengoni tu pana shida.
 
Hoja ya Wenje (Mb) ilikuwa inaelekea kumgalagaza Mwanasheria Mkuu wa Serikali kabla ya vipaza sauti havijazimika.
 
watengenezaji wote na serikari yote ipo kigoma kwanza kwa mawazo na kila kitu kukwamisha ziara ya dr slaaa wakimaliza tu watakuja kutengeneza baba
 
Kuumwa ni kawaida hata binadamu huumwa zile ni mashine kuharibika ni jambo lisilokwepeka.
 
Tutashuhudia mbinu nyingi za kimafya kadiri tunapoelekea 2015. sasa tumeingia kwenye kuzima umeme na vipaza sauti. Ina maana bunge halina back up system?
 
Jengo lilijengwa kwa mabilioni, lakini leo mara linavuja, mara vipaza sauti nk. Maccm kila kitu ni kufisidi na 10% kwa kwenda mbele!
 
Back
Top Bottom