Bunge laahirishwa kwa vipaza sauti kutofanya kazi

  • Thread starter UFUNUO WA TANZANIA
  • Start date

UFUNUO WA TANZANIA

UFUNUO WA TANZANIA

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2013
Messages
471
Likes
0
Points
0
UFUNUO WA TANZANIA

UFUNUO WA TANZANIA

JF-Expert Member
Joined Apr 7, 2013
471 0 0
Bunge limeahirishwa baada ya vipaza sauti kutofanya kazi ukumbi mzima. Hili ni janga. Jana umeme leo vipaza sauti
 
amakyasya

amakyasya

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2013
Messages
3,463
Likes
19
Points
0
amakyasya

amakyasya

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2013
3,463 19 0
Serikali sikivu ya CCM ndo uwezo wake ilipofikia. Wakati huo huo Kinana anauliza na kuahidi kutatua matatizo ya wafanyakazi wa TAZARA akiwa Mbeya kumbe hata mjengoni tu pana shida.
 
TUJITEGEMEE

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Messages
13,371
Likes
5,162
Points
280
TUJITEGEMEE

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2010
13,371 5,162 280
Hoja ya Wenje (Mb) ilikuwa inaelekea kumgalagaza Mwanasheria Mkuu wa Serikali kabla ya vipaza sauti havijazimika.
 
frema120

frema120

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Messages
5,102
Likes
35
Points
135
frema120

frema120

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2012
5,102 35 135
watengenezaji wote na serikari yote ipo kigoma kwanza kwa mawazo na kila kitu kukwamisha ziara ya dr slaaa wakimaliza tu watakuja kutengeneza baba
 
CANIMITO

CANIMITO

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Messages
2,052
Likes
2,081
Points
280
CANIMITO

CANIMITO

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2013
2,052 2,081 280
Movie ya "kumzima" Wenje..
 
Simiyu Yetu

Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Messages
18,936
Likes
1,600
Points
280
Simiyu Yetu

Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2013
18,936 1,600 280
Kuumwa ni kawaida hata binadamu huumwa zile ni mashine kuharibika ni jambo lisilokwepeka.
 
C

Chintu

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2011
Messages
4,096
Likes
1,480
Points
280
C

Chintu

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2011
4,096 1,480 280
Tutashuhudia mbinu nyingi za kimafya kadiri tunapoelekea 2015. sasa tumeingia kwenye kuzima umeme na vipaza sauti. Ina maana bunge halina back up system?
 
U

ungonella wa ukweli

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Messages
4,217
Likes
1
Points
0
U

ungonella wa ukweli

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2012
4,217 1 0
Jengo lilijengwa kwa mabilioni, lakini leo mara linavuja, mara vipaza sauti nk. Maccm kila kitu ni kufisidi na 10% kwa kwenda mbele!
 
Mtamile

Mtamile

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Messages
2,821
Likes
100
Points
160
Mtamile

Mtamile

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2011
2,821 100 160
nchi ya kitu kidogo
 
HUNIJUI

HUNIJUI

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2012
Messages
1,440
Likes
12
Points
135
HUNIJUI

HUNIJUI

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2012
1,440 12 135
Bunge limeahirishwa baada ya vipaza sauti kutofanya kazi ukumbi mzima. Hili ni janga. Jana umeme leo vipaza sauti
Tatizo wote walihamia Dar so yawezekana vipanya vilipita vikakata nyaya.
 
M

mshumbue-soi

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2013
Messages
1,847
Likes
794
Points
280
Age
34
M

mshumbue-soi

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2013
1,847 794 280
nadhani ni mbinu siamini kama watalamu wameshindwa au hawana backup
 
N

nkongu ndasu

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2013
Messages
22,502
Likes
3,770
Points
280
N

nkongu ndasu

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2013
22,502 3,770 280
Watanzania kama tutaendelea na maccm tutaupata wa chuya!
 
HUNIJUI

HUNIJUI

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2012
Messages
1,440
Likes
12
Points
135
HUNIJUI

HUNIJUI

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2012
1,440 12 135
Kwanini hawana Spika za ziada hata kama zile za wanaouza Dawa za mende?
 
W

Warioba E. W

Senior Member
Joined
Jan 15, 2013
Messages
163
Likes
0
Points
0
W

Warioba E. W

Senior Member
Joined Jan 15, 2013
163 0 0
Mpaka wachina waje kurekebisha, mafundi wa bunge walikuwa 4ways bar wanalewa.
 
W

Warioba E. W

Senior Member
Joined
Jan 15, 2013
Messages
163
Likes
0
Points
0
W

Warioba E. W

Senior Member
Joined Jan 15, 2013
163 0 0
Kwanini hawana Spika za ziada hata kama zile za wanaouza Dawa za mende?
Injinia Manyanya sinifundi wa umeme na sound system, apande darini asaidie.
 

Forum statistics

Threads 1,252,056
Members 481,989
Posts 29,794,218