Bunge laahirishwa, Kamati ya Maliasili yawaka moto!

Zitto ndio amejenga hoja yenye mashiko wewe. amekuja na mifano. ametoa pendekezo n kuilaumu kamati kw nini iseme waziri wa mifugo ndie ajipime tu wakati hata maliasili wameshindwa kuwajiibika?
Sana tu Mkuu. Tatizo kuna wengine wana alergie na zitto
 
Hizi thread zingine zimejaa unafiki kulikuwa na haja gani ya kuandika kuwa Zitto aliunga mkono hapa unamaanisha nini kama sio unafiki.
ukweli ni kuwa mleta thread kaweka ushabiki,lakini hoja ya lisu naibu spika alikua ameshaichinjia baharini,ni mpaka zito alipokuja na hoja ya kusitisha bunge kwa argument za nguvu ndo naibu spika akawa hana jinsi.
 
Tundulisu ndio aliye gundua ujanja ujanja wa spika wengine wakafwata zitto amekazia tu naona mnapa sifa hata asizo stahili
 
Hatutoendelea kamwe kama tutahendekeza unafiki na chuki kama zakwako.
Mkuu, hawa ndo wapinzani wa Zitto. Hata kama amefanya jambo zuri, kwao ni chuki tu. hapo bado akina Molemo, Ben Mida 8, Mohamed Mtoi na Yeriko Nyerere
 
Tundulisu ni zaidi ya mnunge yeye ndie aliye gundua mapungufu ya kikanuni ndipo wengine wakafwata akina zitto, big up Lissu
 
Tundulisu ndio aliye gundua ujanja ujanja wa spika wengine wakafwata zitto amekazia tu naona mnapa sifa hata asizo stahili

Ni kweli mkuu DCONSCIOUS .... Tena bado kidogo ndugai aukatae mwongozo wa lissu sema imebidi aukubali vile akina kangi , zito na wengineo walionekana kuunga mkono mwongozo wa lisu!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, hawa ndo wapinzani wa Zitto. Hata kama amefanya jambo zuri, kwao ni chuki tu. hapo bado akina Molemo, Ben Mida 8, Mohamed Mtoi na Yeriko Nyerere

ben sa8 namkubali ila ananishangaza anavyomchukia zitto toka moyoni. Usimchukie mtu chukia matendo yake..ni hilo linalomshushia hadhi sa8
 
Back
Top Bottom