Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,894
- 20,372
Sana tu Mkuu. Tatizo kuna wengine wana alergie na zittoZitto ndio amejenga hoja yenye mashiko wewe. amekuja na mifano. ametoa pendekezo n kuilaumu kamati kw nini iseme waziri wa mifugo ndie ajipime tu wakati hata maliasili wameshindwa kuwajiibika?