UFASHE MLIBHONA
Senior Member
- Nov 28, 2012
- 177
- 51
Umeona eenhhh Hakuna kama Zitto ndani ya Chadema. Namshauri Mbowe na wenzake, kuliko kuogopa mapambano ndani ya chama na kuogopa kuangushwa na kijana mdogo ambaye amekukuta chamani lakini ana hoja nzito za uhakika na mwenye ushawishi mkubwa kwa wananchi ni bora ukamuweka karibu yako na kumpa nafasi itakujengea heshima kuliko mlivyofanya. Mnakimaliza Chama