Bunge la Urusi lapitisha sheria itakayohalalisha wanandoa kunyukana

Cicero

JF-Expert Member
Jan 20, 2016
2,924
3,073
Russia's parliament voted 380-3 on Friday to decriminalize domestic violence in cases where it does not cause "substantial bodily harm" and does not occur more than once a year.
 
Hapo wala hawatapigana. Uzuri wa kitu kifanye ukiwa hauna ruhusa.(sasa hapo wamepewa ruhusa ka kipigo hakawi hevi)
 
Hii sheria wailete hapa Tanzania ili tufanye mambo maana siku hizi hawa wenzetu wanadeka sana
 
Vodka politics.
Vodka politics?
Unajua unachokiongea kweli.?
Urusi ni bchi yenye sheria zinazolinda sana wanawake.
Tanzania hatuifikii urusi hata kwa 2% kwa sheria za kumlinda mwanamke.
Ukipelekwa mahakamani na mwanamama lazima uchezee mvua.
 
Back
Top Bottom