Bunge la Ulaya: Hii ni bahati mbaya au ni malengo maalum?

Umeshindwa kujibu hii, sema tu, nimeshindwa na hao hawana baba:

quote_icon.png
By kahtaan
Kubishana na Bwenga! Ni kupoteza muda tu.

Km wewe na WAKRISTO WOTE MNASEMA KWELI KUWA BIBLIA NI KITABU CHA MUNGU.
Hebu nitajie majina ya BABA ya WAANDISHI WA BIBILIA!

MARK...who?
MATHEW. ..who?
LUKE....who?
JOHN. ..who

Ukiweza Kunipa tu MAJINA YA BABA ZAO kwa USHAHIDI WA ANDIKO basi na mimi unanibatiza Bila maji Hata leo.!

La Huwezi basi ukubali kuwa HAWA WOTE NI WATOTO WA ZINAA waliozaliwa Mitaani wasiowajua BABA ZAO.

Nasubiri MAJINA YA BABA ZAO, tena sio wewe tu. NA MKIRISTO YYT ANAESOMA HAPA!

Sasa tazameni Wagalatia WATAKAVYO GEUZA UZI!

teh teh teh teh.
Uelewa mdogo, ANZISHA MADA INAYOHUSU HILI SWALA UTAFAFANULIWA. HAPA mnapindisha mada husika
 
Mada ipi tena, si ujibu hoja hiyo.

We unaleta mabandiko badala ya kufuata utaratibu, Umeshauri Anzisha mada inayojikita kwenye hoja sio kutupia mabandiko. Hujui unajibishana na mtu wa namna gani. Nikutaarifu mie sipo kwenye na sitaki kusikia NENO DINI.
iwe uislam; ukristo, hinduism n.k sasa ukiniletea bandiko la huyu katoka dini hii kaenda kule nikikuita punguani nimekosea?
Mimi naamini Mungu yupo alieumba vyote vilivyopo na nafuata njia zake ninazoamini zitanifikisha kwake, sijali nimezipata wapi ila namfuata YESU KRISTO ALIEKUFA MSALABANI. Kama utaniita mkristo huo ni mtazamo wako. Ulisema wote walioandika Bible hawana baba, nimekujibu ANZISHA mada tueleweshane huko sio katika mada hii hapa.
 
Kuna mchambuzi mmoja nimependa sana uchambuzi wake wa ufunuo. Yeye amemchambua yule mnyama kuwa ni Taifa au muunganiko flani utakaoungwa na mataifa hayo (yaani hii EU). Watakaohusika kuunda ndio tafsiri ya namna mnyama alivyo fafanuliwa.
MNYAMA = NCHI AU TAIFA
Sio lazima yote yaliomo humo kwa sasa. Jeraha la mauti kasema ni PIGO/dholuba kwa nchi mojawapo zitakazounda 666. Nchi hii aliitaja kuwa ni Ujerumani. (ILIPATA PIGO LA MAUTI NA KUPONA) Iligawanywa na kupona katika jeraha hilo (YAANI kujiunga tena kama taifa) . SASA ajenda inaendelea. Ndio haya tuyaonayo na Dira kuu ni mambo yanavyoendelea pale Israel. Mwanamke mkuu yule kahaba alimtaja mchambuzi huyu kuwa ni VATICAN (fuatilia mavazi ya kahaba). itaanguka na kuisujudu hii kitu 666 inayoundwa na mataifa haya. Nabii wa uongo alimtaja kuwa ndio atakayeiporomosha vaticana na RC yote kwa kuiweka chini ya hii 666. PApa atatakayekalia kiti kipindi hicho (haijulikani kama ni huyu au ajaye) ndio atakuwa mtekelezaji mkuu wa kuiweka RC. YOTE CHINI YA 666.
Mkuu mcharo son,unaweza kuelezea kujitoa kwa UK kwenye EU kunaweza kuwa na adhari gani katika utekelezaji wa nwo? Mfano mie binafsi naamini UK ana nguvu na ushawishi mkubwa kwenye ukanda huo,ndio maana hadi leo anapata ushawishi ajirudi kwenye umoja huo.

Au UK ni miongoni mwa zile pembe 3 zilizong'oka na kupisha pembe moja ndogo yenye kunena kufuru? Shukrani sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza tambua UK ni muunganiko wa vitaifa vidogo ndio mana ikaitwa UK. Yaweza kabisa kuwa ndio hizo zinang'oka na kupisha moja itakayochomoza hapo hapo halafu zinarudi kinamna. Tusubiri muda utaamua hili.

Kwanza napenda kukufahamisha kuna ushahidi wa kiufunuo amba unaonyesha kuwa Hiyo pembe ndogo ndio itatoka hapona kiongozi ambaye atashikilia jina la 666 atatoka hapo. Yupo hai na ufunuo imemtamka na wachambuzi ambao MIE NAWAKUBALI WAMEmCHAMBUA, NIKAFUATILIA VIGEZO NIKAONA KUNA UKWELI. Anasubiri wakati wake aanze kazi.
Hapa NGOJA nikupe uchambuzi mfupi, FUATILIA NA TAFAKARI mana najua watu wengi wapo chaka.
Kwanza nilisema na nitaendelea kusema kuwa; ufunuo na vitabu karibu vyote vya bible vimeshuka katika lugha ya kiebrania (Hebrew language) Hii lugha ina namba zake na ndizo kanuni ya namba hizi zinatakiwa zitumike kupata hesabu ya 666.
  • Kwanza Sio namba za kirumu kwa sababu lugha ya ufunuo sio kirumi. Iweje uoteshwe kwa kanuni za kimakonde halafu ukaenda kutafsiri kwa kanuni za kizigua. Utapata jibu potofu. Sasa watu wengi wameingia chaka kila mtu anabuni njia zake kukidhi matakwa yake. Chanzo ndio unasikia mara papa ndio 666 mara muhamad na wengine wengi. Ukihesabu majina yao kwa kanuni ya namba za kiebrania, hupati hizo jumla ya 666. Hapa Mungu ndio mna alichagua lugha hii. Pia kwenye hoja hiyo hiyo yeye alichambua jina la mtoto wa malkia wa Uingereza (UK) kwa kutumia kanuni za kiebrania akapata hesabu kamili ya 666.
  • Pia kuna vigezo vingi ambavyo vinamuangukia huyu muhusika. Kwa lugha ya kiuchambuzi tunamuita kuwa ndio first candidate anayefiti vigezo vya 666 kama vilivyoainishwa kwenye ufunuo. Japo kuna vigezo vingine bado havijajitokeza ambavyo wachambuzi wanategemea JINSI MUDA unavyoenda ndivyo vitajihidhilisha wazi. Fuatilia tabia ya Huyu mtu
  • Wachambuzi wamechambua kuwa kuna vigezo kama 42 ambavyo huyu 666 lazima awe navyo vilivyowekwa katika bible. Yeye katimiza karibu nusu na kubwa la yote ni hesabu ya jina lake (Nitakupa chati ya mahesabu kwa kiebrania). Waweza fuatilia kwa faida yako hasa kwa kutambua uzito wa jambo. Tusiwe watu wa kufuata kauli bila kuangalia kwa kina.
antc.JPG

Ufafanuzi wa hiyo chati;
Kanuni za kihesabu zilizotumika ni kufuatana na masharti ya Hebrew number system (taratimu za kihesabu kufuatana na kiebrania) kwa wasiojua Kiebrania = Hebrew
  1. sasa Kolum (column) ya kwanza ni herufi za kiingereza ambapo unaweza chukua kama jina lako, herufi zake ukalinganisha na NAMBA/hesabu yakwe kwa kiebrania. Mfano V kwa kiebrania hesabu yake ni 400 wakati warumi kwao V=5. Pia W =0 hapa Wengi waliofutiria utaratibu wa Kijerumani ndio wameingia chaka(wanakosea). kwani wao V=W Hawa ndio wale wanaokuja na jina la papa kuwa ni 666
  2. Column inayofuata ni matamshi ya hizo herufi kwa Hebrew.
  3. Column ya tatu ni hesabu ya hizo herufi kwa kufuata mfumo wa kiebrania japo zipo kwa namba tunazoweza kuzisoma. mfano hesabu ya herufi "I" ni 9 ambapo warumi kwao "I" ni 1 moja
  4. Column ya nne ndio hesabu za jina Prince Charles of Wales zilivyokokotolewa mpaka kupata jumlaa 666. Hapo kwenye blue Hilo ndilo official name ya mtoto wa malkia wa UK ambaye atakuja ridhi kiti cha ufalme baada ya malkia aliyekuwepo. Kwenye ufunuo kuna sehemu ameandikwa kama "prince" na kweli ni prince. Jina Hilo mfano ni sawa na Kutamka Jakaya Mrisho Kikwete anavyotambulika na serikali.
  5. Column ya mwisho imefanywa kudhibitisha kwa kutumia kila kitu kwa Hebrew naya ikakubali 666 (nyie mnaoleta majina yenu mnaipata hii, ingizeni majina yenu hapo muone mtapata jumla ngapi)
Hizi ni hesabu za kawaida na biblia imesisitiza hilo kuwa mwenye hekima na ahesabu namba ya jina hili. Biblia ilisema mwenye hekima ikimaanisha kutumia hekimaya kwanza JINSI UFUNUO ULIVYOSHUSHWA, hapa maana yake lugha ya Kiebrania. SASA HAWA WATU WANAOTUMIA UTARATIBU WA KIRUMI AU KIJERUMANI WANAFUATA HEKIMA iliyosisitizwa kwenye bible kuhusu hesabu hii 666, JIBU ni SIO. na ndio chanzo cha kutudanganya. Nimefafanua kwa kirefu sana mana hiki kipengere KIMEPOTOSHWA NA WENGI. PAMOJA NA MUELEKEZO HUO MCHAMBUZI HUYO ANASEMA MSHUKIWA MKUU ndie huyo, sasa wengine wanachukuo mabandiko na kuja hapa JF wananyoshea watu vidole bila kupata vigezo vyote.
Na mwenye HEKIMA AYAPIME MANENO YANGU nukta. (Ukitaka uchambuzi zaidi kipengere kwa kipengere karibu) kwa wale wenye maswali ya kishabiki sitajibu mana sipo kwa ajili ya ushabiki kama ule wa MPIRA. Pia nimalizie kwa kujulisha kuwa huyu amezaliwa kipindi Taifa jipya la Israel linaundwa (walipopata uhuru 1948) na ndio (inavyotazamiwa) atakayekuja tambulishwa kama mwokozi wao mpya na huyo nabii wa uongo pale wakati na majira yakitimia.
 
Kuna mchambuzi mmoja nimependa sana uchambuzi wake wa ufunuo. Yeye amemchambua yule mnyama kuwa ni Taifa au muunganiko flani utakaoungwa na mataifa hayo (yaani hii EU). Watakaohusika kuunda ndio tafsiri ya namna mnyama alivyo fafanuliwa.
MNYAMA = NCHI AU TAIFA
Sio lazima yote yaliomo humo kwa sasa. Jeraha la mauti kasema ni PIGO/dholuba kwa nchi mojawapo zitakazounda 666. Nchi hii aliitaja kuwa ni Ujerumani. (ILIPATA PIGO LA MAUTI NA KUPONA) Iligawanywa na kupona katika jeraha hilo (YAANI kujiunga tena kama taifa) . SASA ajenda inaendelea. Ndio haya tuyaonayo na Dira kuu ni mambo yanavyoendelea pale Israel. Mwanamke mkuu yule kahaba alimtaja mchambuzi huyu kuwa ni VATICAN (fuatilia mavazi ya kahaba). itaanguka na kuisujudu hii kitu 666 inayoundwa na mataifa haya. Nabii wa uongo alimtaja kuwa ndio atakayeiporomosha vaticana na RC yote kwa kuiweka chini ya hii 666. PApa atatakayekalia kiti kipindi hicho (haijulikani kama ni huyu au ajaye) ndio atakuwa mtekelezaji mkuu wa kuiweka RC. YOTE CHINI YA 666.
Kila mmoja anaweza kutoa maoni yake kuhusu unabii na kila kinachoendelea duniani kwa sasa lakini unabii usipimwe kwa maelezo ya watu fulani bali maelezo ya watu hao yapimwe kwa unabii husika....

Suala kama la mwanamke kuwa nani au nini tuangalie unabii husika unasema mwanamke ni nani na siyo kama tunavyotaka sisi...

Kilichopona jeraha la mauti ni kimoja cha vichwa vya mnyama na siyo mnyama mwenyewe.Mambo kama haya watu wanayachanganya sana....
 
Hiyo formula nani kakufundisha uitumie. Ninachojua Neno la ufunuo kipindi hicho lilishushwa kwa lugha ya Kihebrania na kuna mfumo wa namba wa kiebrania ndio unatakiwa kukokotoa kupata jumla ya 666. Sasa hii yako sijui ya wapi! Kama ufunuo ulishushwa kwa kirumi basi namba za kirumi zitahusika. SASA kwa taarifa yako Ukitumia namba za Kiebrania (google ujifunze) ukajumlisha utakachopata leta hapa. Wote wasiotumia namba za lugha hiyo wanapata majina mengi jumla yake ni 666. Mungu hakuwa mjinga kutumia lugha ya Hebrew kushusha kitabu cha ufunuo.
Kipindi cha uandishiwa agano jipya lugha iliyotumika ni Kiyunani[Kigiriki] siyo Kiebrania hata agano jipya liliandikwa kwa Kigiriki pia....
 
SALA NA KAZI pitia na hapa....

Tulijadili mengi kipindi hicho lakini ni "valid" hadi leo...

Unaweza kuchangia hapa pia....
 
Kipindi cha uandishiwa agano jipya lugha iliyotumika ni Kiyunani[Kigiriki] siyo Kiebrania hata agano jipya liliandikwa kwa Kigiriki pia....
Now Sir, lets go this way.........Huyu mchambuz, by the way Mie ni mzaliwa wa JUZi tu sasa mambo ya nyuma lazima tuangalie wachambuz wamepitaje na sisi tunapitaje. Mchambuz alienishawishi kacoment number system nyingi zimeanzia kwa Wagiriki kama ulivyosema. SASA Hebrew (hata English) pia mahesabu yake yametokea huko huko. Na yeye alipata HESABU SAWA KWA KUTUMIA HERUFI ZA ALPHABET AMBAZO chanzo ni GREEk nimenukuu his comment. Ukitumia jina kwa alphabet za english hesabu 666, ukitumia Hebrew unapata 666 kama nilivyoonyesha kwenye post huko nyuma. sasa basi nanukuu....
"The Number of His Name

Here is wisdom. Let him who has understanding calculate the number of the beast, for the number is that of a man; and his number is six hundred and sixty-six. REV 13:18

This is one of the most fascinating and intriguing verses in all prophetic Scripture. This verse has caused more Bible teachers and students to chase their tails than any other verse. How do you calculate the number? Obviously, each letter must have a numerical value, but what value is correct for each letter?

The answer to these questions comes from an understanding of the ancient classic languages of Hebrew and Greek. As you may recall, the numbers we use today are Arabic or Roman numerals. Like Hebrew and Greek, English has no numerals of their own. In ancient times, before there were Arabic and Roman numerals, a simple decimal system was used for each letter. That is, the first ten letters were given the value of one through ten in ascending order. The next letter, however, was not an eleven, but instead, twenty. Thereafter, each letter was ten more (20, 30, 40, etc). At one hundred, the letter incremented by 100's, (200, 300, 400, etc). Both Hebrew and Greek contain 22 letters. So, the greatest value of any letter (Tav in Hebrew, Omega in Greek) was 400. The ancients simply used letters in place of numbers to indicate numerical values.

Archaeology has found, for example, where a man etched a secret message in stone by saying, AI love the girl whose name equals 545." It is a very simple system and can easily be adapted to English as well.

When John wrote his prophecy giving the value of 666 to the name of the beast (antimessiah), the ancients had no difficulty understanding the intent. This would be a confirmation of a particular name and would help in the identification process. The key word calculate also adds to the mystery as it is more technical than the simpler word "count." The word "number" in the Greek is "arithmos." The origins of the word "arithmetic." To sum it up (excuse the pun), this verse of Scripture emphasizes that wisdom and understanding must be employed to draw a proper conclusion. Here is wisdom. Let him who has understanding...

For example, the first Hebrew letter is an aleph, Greek is alpha, and English is just plain "A" The English alphabet originates from Greek (alpha beta) and the Hebrew (aleph bet). I was curious as to whether the gematria (numerical values for each letter) would yield any interesting results."
mwisho wa kunukuu, sasa nikuulize kitu, Mambo yote ya Siku za mwisho JICHO na attension yote tunaangalia Israel (hapo tunakubaliana) Mungu akiwapa ujumbe watu wake ana address Waisrael, na aliwaambia kuwa huyo 666 atakuja Israel kutokea North. Sasa watamtambuaje jina lake? Watatumia namber system za kijerumani (kirumi) au za kwao? JE MIMI NIKIMTAMBUA KWA KUTUMIA HEBREW SYSTEM NITAKUWA NIMEKOSEA( Japo nilivyosema ufunuo ulishuka kwa Hebrew yawezekana nimekosea) BUT walengwa (Israel) wanaotakiwa kufanyia kazi watumie utaratibu upi kumjua huyu 666?
By the way huyo mchambuzi ni Muislael (kitu kama Myahudi)
 
Kwanza tambua UK ni muunganiko wa vitaifa vidogo ndio mana ikaitwa UK. Yaweza kabisa kuwa ndio hizo zinang'oka na kupisha moja itakayochomoza hapo hapo halafu zinarudi kinamna. Tusubiri muda utaamua hili.

Kwanza napenda kukufahamisha kuna ushahidi wa kiufunuo amba unaonyesha kuwa Hiyo pembe ndogo ndio itatoka hapona kiongozi ambaye atashikilia jina la 666 atatoka hapo. Yupo hai na ufunuo imemtamka na wachambuzi ambao MIE NAWAKUBALI WAMEmCHAMBUA, NIKAFUATILIA VIGEZO NIKAONA KUNA UKWELI. Anasubiri wakati wake aanze kazi.
Hapa NGOJA nikupe uchambuzi mfupi, FUATILIA NA TAFAKARI mana najua watu wengi wapo chaka.
Kwanza nilisema na nitaendelea kusema kuwa; ufunuo na vitabu karibu vyote vya bible vimeshuka katika lugha ya kiebrania (Hebrew language) Hii lugha ina namba zake na ndizo kanuni ya namba hizi zinatakiwa zitumike kupata hesabu ya 666.
  • Kwanza Sio namba za kirumu kwa sababu lugha ya ufunuo sio kirumi. Iweje uoteshwe kwa kanuni za kimakonde halafu ukaenda kutafsiri kwa kanuni za kizigua. Utapata jibu potofu. Sasa watu wengi wameingia chaka kila mtu anabuni njia zake kukidhi matakwa yake. Chanzo ndio unasikia mara papa ndio 666 mara muhamad na wengine wengi. Ukihesabu majina yao kwa kanuni ya namba za kiebrania, hupati hizo jumla ya 666. Hapa Mungu ndio mna alichagua lugha hii. Pia kwenye hoja hiyo hiyo yeye alichambua jina la mtoto wa malkia wa Uingereza (UK) kwa kutumia kanuni za kiebrania akapata hesabu kamili ya 666.
  • Pia kuna vigezo vingi ambavyo vinamuangukia huyu muhusika. Kwa lugha ya kiuchambuzi tunamuita kuwa ndio first candidate anayefiti vigezo vya 666 kama vilivyoainishwa kwenye ufunuo. Japo kuna vigezo vingine bado havijajitokeza ambavyo wachambuzi wanategemea JINSI MUDA unavyoenda ndivyo vitajihidhilisha wazi. Fuatilia tabia ya Huyu mtu
  • Wachambuzi wamechambua kuwa kuna vigezo kama 42 ambavyo huyu 666 lazima awe navyo vilivyowekwa katika bible. Yeye katimiza karibu nusu na kubwa la yote ni hesabu ya jina lake (Nitakupa chati ya mahesabu kwa kiebrania). Waweza fuatilia kwa faida yako hasa kwa kutambua uzito wa jambo. Tusiwe watu wa kufuata kauli bila kuangalia kwa kina.
View attachment 549805
Ufafanuzi wa hiyo chati;
Kanuni za kihesabu zilizotumika ni kufuatana na masharti ya Hebrew number system (taratimu za kihesabu kufuatana na kiebrania) kwa wasiojua Kiebrania = Hebrew
  1. sasa Kolum (column) ya kwanza ni herufi za kiingereza ambapo unaweza chukua kama jina lako, herufi zake ukalinganisha na NAMBA/hesabu yakwe kwa kiebrania. Mfano V kwa kiebrania hesabu yake ni 400 wakati warumi kwao V=5. Pia W =0 hapa Wengi waliofutiria utaratibu wa Kijerumani ndio wameingia chaka(wanakosea). kwani wao V=W Hawa ndio wale wanaokuja na jina la papa kuwa ni 666
  2. Column inayofuata ni matamshi ya hizo herufi kwa Hebrew.
  3. Column ya tatu ni hesabu ya hizo herufi kwa kufuata mfumo wa kiebrania japo zipo kwa namba tunazoweza kuzisoma. mfano hesabu ya herufi "I" ni 9 ambapo warumi kwao "I" ni 1 moja
  4. Column ya nne ndio hesabu za jina Prince Charles of Wales zilivyokokotolewa mpaka kupata jumlaa 666. Hapo kwenye blue Hilo ndilo official name ya mtoto wa malkia wa UK ambaye atakuja ridhi kiti cha ufalme baada ya malkia aliyekuwepo. Kwenye ufunuo kuna sehemu ameandikwa kama "prince" na kweli ni prince. Jina Hilo mfano ni sawa na Kutamka Jakaya Mrisho Kikwete anavyotambulika na serikali.
  5. Column ya mwisho imefanywa kudhibitisha kwa kutumia kila kitu kwa Hebrew naya ikakubali 666 (nyie mnaoleta majina yenu mnaipata hii, ingizeni majina yenu hapo muone mtapata jumla ngapi)
Hizi ni hesabu za kawaida na biblia imesisitiza hilo kuwa mwenye hekima na ahesabu namba ya jina hili. Biblia ilisema mwenye hekima ikimaanisha kutumia hekimaya kwanza JINSI UFUNUO ULIVYOSHUSHWA, hapa maana yake lugha ya Kiebrania. SASA HAWA WATU WANAOTUMIA UTARATIBU WA KIRUMI AU KIJERUMANI WANAFUATA HEKIMA iliyosisitizwa kwenye bible kuhusu hesabu hii 666, JIBU ni SIO. na ndio chanzo cha kutudanganya. Nimefafanua kwa kirefu sana mana hiki kipengere KIMEPOTOSHWA NA WENGI. PAMOJA NA MUELEKEZO HUO MCHAMBUZI HUYO ANASEMA MSHUKIWA MKUU ndie huyo, sasa wengine wanachukuo mabandiko na kuja hapa JF wananyoshea watu vidole bila kupata vigezo vyote.
Na mwenye HEKIMA AYAPIME MANENO YANGU nukta. (Ukitaka uchambuzi zaidi kipengere kwa kipengere karibu) kwa wale wenye maswali ya kishabiki sitajibu mana sipo kwa ajili ya ushabiki kama ule wa MPIRA. Pia nimalizie kwa kujulisha kuwa huyu amezaliwa kipindi Taifa jipya la Israel linaundwa (walipopata uhuru 1948) na ndio (inavyotazamiwa) atakayekuja tambulishwa kama mwokozi wao mpya na huyo nabii wa uongo pale wakati na majira yakitimia.
Asante mcharo son. Kwa maana hiyo kama prince Charles wa Wales ndio anawakilisha 666 na sio cheo,je inakuwaje kwa vizazi vitakavyokuja na vilivyopita kuhusu tafsiri ya 666 ambapo Charles alikuwa hajazaliwa/kutambulika na baada ya kufa kwake? Hii maana wataipata wapi?

Kama binadamu huyu mtu atakufa siku si nyingi kulingana na umri wake na hapo italeta mkanganyiko miongoni mwa watafsiri wa kitabu cha Mungu kuhusu 666.

Kuna hoja moja umeisema kuhusu udogo wa UK kwenye jumuiya ya ulaya,sasa nani anamsapoti kumuachia utawala wa dunia na udogo wake huu katika katika dunia na hasa ikizingatiwa uhasama uliopo kati yake na super power Germany.

Na mwisho kabisa kwanini anajitoa kwenye muunganiko wakati muhimu kama huu? Nitashukuru kwa ufafanuzi zaidi ndugu.

uFUNUO UNASEMA 666 NI JUMLA YA JINA LA MTU sio cheo. na Mungu kaiweka hivyo ili watu wake wamtambue. Kama cheo ni vigumu kujua yupi ni yupi mana vyeo ni nafasi mfano ya Papa.
Ndio mana viashiria vingine nilisema vinasubiri muda, Ufunuo wa Biblia Mungu kaweka siri hakuna vizazi vilivyofunuliwa mpaka hichi kizazi kilichokusudiwa, kinachopigiwa kelele kuwa ndio kizazi kitakachoushuhudia huo mwisho. Viongozi wetu wa dini wakipiga kelele hizi ni nyakati wa mwisho maana yake ZILE SIRI ZA UFUNUO NDIO HIZO ZINAJIONYESHA kuashiria ule mwisho haupo mbali. (Vinginevyo basi Mungu atakuwa anatuongopea kitu ambacho sitazamii)
Pia sijamnyooshea Prince Charles kuwa 100% lazima awe, Tunasubiri viashiria vingine kumhakikisha ndipo tujue NDIE. nilisema nusu ya vigezo vyote vya 666 katimiza wengine wote wanaishia vigezo hata si zaidi ya vitano. Vigezo vipo 42 ambapo ni pamoja na jeraha la mauti ambalo BADO KUTOKEA. Kuna mchambuzi alisema jeraha la mauti ni NCHI kugawanyika na kujiunga lakini Eiyer kasaidia kunikumbusha kuwa jeraha lazima litoke kichwani. Hivyo tunategemea huyu mtu lazima atakuja kupata MUUJIZA FLANI HIVI AKIKALIBIA KUCHUKUA NAFASI YAKE. Mambo yake yatafuata mfano wa Yesu kufa na kufufuka na Miujiza amabyo atapewa Nguvu na shetani. Kwa sasa ni mtu wa kawaida, yaani inakuwa kama Yesu kuna kipindi alikuwa yupo tu mpaka wakati wa kazi ulivyofika NDIPO ATAANZA KUIBUKA NA HIO MIUJIZA NA KUJIINUWA KUWA YEYE NDIO mwakozi wa Waisrael (Na kujiinua kama Mungu). Jamaa kazaliwa mwaka Taifa la Israel limezaliwa, pia original yake ukifuatilia ukoo wa kifalme ni Roman Empire, Pia ulisema atakufa haya namnukuu mchambuzi wangu ambaye hichi ninachokinukuu kunaonesha kama ni kweli, basi muda umebaki mdogo sana, nanukuu.....
"The prince who is to come must be of Roman origin. It was the Romans who came and destroyed the temple and Jerusalem. The antimessiah must come from the fourth great beast described by Daniel — the Romans. Daniel later describes how the prince comes to power. He must do so while being a prince, not a king." mwisho wa kunukuu
Kama umekubali kuwa kuna dalili za mwisho zimejionyesha kama ilivyotabiliwa.
Kuhusu udongo wa UK na Europe na German, kwanza wote wanahistoria ya kutokea Roman Empire na ukoo wa kifalme ndio ukichimba ni huko huko, ni vipi wataungana wakati ni mahasimu, hilo mimi na wewe hatujui. Hata watu walioishi miaka ya 1930 hawakutegemea kama Taifa la Israel litakuja kutokea katikati ya nchi zenye Waislam dam dam.
Pia yeye hata tumia Nguvu atawekwa pale, fuatilia ufunuo. Kuna maagent na system hizo zinazofanya kazi sasa, ndio KAZI ZAO kumweka madalakani mfano hawa ma freemasons na nguvu zingine. Lazima kutakuwa na namna hata ya mgogoro na YEYE ATAONEKANA MWENYE HEKIMA NA ANAFAA KWA UONGOZI ambao wadau na hali ya wakati huo itaonekana anahitajika.
Umeuliza kwa nini anajitoa katika muungano kipindi kama hiki, Mimi siwezi kujua MASTER PLAN. kwanza kumbuka yeye bado hajashika madaraka. Je akishika MADARAKA AKAAMRISHA NCHI IJIUNGE, kuna wa kupinga. Yeye akianza kupanda kama ni yeye TUATSHUHUDIA MAMBO YANAVYOJIPANGA.
iLA KUKUSHAURI WACHUNGUZI NA KITABU CHA UFUNUO KImewekea mkazo kuwa pale kutakapotokea Mkataba wa amani kati ya Israel na Palestina kuhusu hekalu takatifu, (HUU MGOGORO UNAOUSIKIA SASA) basi haitapita kipindi cha miaka 7 huyu 666 lazima AANZISHE UTAWARA WAKE!! Tupia jicho pale na jielimishe zaidi na kujiweka sawa mana mambo mengi ya ufunuo yamewekwa wazi, japo wengi wanapinga, wanapotosha na kudharau. Ilitabiriwa baada ya kutawanyika kuwepo taifa la Israel miaka 2000 ambalo Yesu akirudi atalikuta siku za mwisho, Hilo taifa limetokea 1948 WATU WANAONA NI KITU CHA KAWAIDA.
Sasa pamoja na mengine imetabiliwa hapo kwenye blue. LAZIMA ITAKUJA TOKEA NA HILI JOTO unaloliona. Pia vita kuu ya dunia III na mengine mengi. Itategemea ni wachambuzi gani unawaona wako sawa kwa kufuata vigezo vya bible, wengi MABOYA hakuna kitu bali wapo kuwachanganya watu ili wasijue kweli.
Nadhani nimekujibu
 
SALA NA KAZI pitia na hapa....

Tulijadili mengi kipindi hicho lakini ni "valid" hadi leo...

Unaweza kuchangia hapa pia....
Mchambuzi ambaye nakubaliana nae katika uchambuzi, naomba niweke nukuu yake kuongezea point niliotoa kuhusu hesabu ya 666, nanukuu..
"But that's not good enough for me, I'm Hebrew. I need to see his name in Hebrew calculated to the gematria. For that I had to go to Israel and find an authoritative source for translating his name into Hebrew. I ended up following how the Israeli press writes his name in the Hebrew newspapers. "Nasich Charles Me Wales" is the name as pronounced in Hebrew. Refer to the chart shown here (post namba 428) and you can compare the English and Hebrew names with the corresponding calculations. The statistical odds are astonishing. The name "Prince Charles of Wales" in the modern accepted form of Hebrew calculates to 666 as well." mwisho wa kunukuu
 
Imeandikwa Pia kwa Mtu yeyote atakaye kubali kutiwa chapa ya mnyama kwenye paji la Uso au mkono wa kulia atapata adhabu sawa na huyo mnyama... Ufalme wa Mungu tunautafuta kwanza kwa kukataa chapa ya huyo mnyama. Na tutaikataa kwa kumjua kwanza huyo mnyama ni nani..

Ndiyo hata kama wanamaanisha hivyo kwanini waweke 60 60 60 tatu.? Na umeshawahi kujiuliza na Kusoma why kiti namba 666 hakina mtu?

Pia kuna Mnyama wa Pili kwenye UFUNUO 13 ana pembe mbili kama mwanakondoo...

Ulishawahi kupitia hapo?
Huyu mnyama wa pili ni nabii wa Uongo yule atakayeDanganya watu kuwa 666 ndie anapaswa kuabudiwa. Atafanya ishara nyingi na miujiza mpaka watu watamuamini. Uchambuzi wake wa atakuwa yupi ngoja tusubiri watu watatupia nini na tutalinganisha na bible. Wakila kona au wakija na uchambuzi fake nitatupia wangu, taratibu tunaweza kukubaliana japo kama akilengwa kiongozi wako wa dini na vigezo vikimthibitisha watu wasing'ake. Mana yeye atatokea kutoka nafasi flani ya cheo cha kidini na ndio atamthibitisha huyu 666 amabaye kwanza atakuwa political leader. Sasa kazi ya huyu nabii wa uongo ni kumfanya huyu political leader awe religion leader as well(kiongoz wa kidini) Hivyo nafasi yake yeye ataibukia kwenye dini flani siitaji kwa sasa, mana nao ni mjadala mrefu (mada yake)
 
Tatizo me cojaona tija yoyote iliyojitokeza inayoonekana tangu haya masuala yaaanze kujadiliwa ktk mitandao mbalaimbalai ya kijamii na makongamano.cha zaidi nachokiona ni kutishana tu na kupelekea kuibuka wachungaji kibao wakitumia michoro na mambo kibao kupga sadaka na kisha kujikusanyia utajiri lakini mambo yanabaki vilevile.me naona ni mbinu za kumjaza binadamu woga aache kujadili mambo ya msingi na kujikuta anaweka efforts kubwa kujadili vitu vya kufikilika ambavyo havina mahusiano ya moja kwa moja na. Maisha take ya kila siku.
kipindi cha Nuhu kuna watu walisema kama wewe, so mimi sishangai unavyosema
 
mwisho wa kunukuu, sasa nikuulize kitu, Mambo yote ya Siku za mwisho JICHO na attension yote tunaangalia Israel (hapo tunakubaliana) Mungu akiwapa ujumbe watu wake ana address Waisrael, na aliwaambia kuwa huyo 666 atakuja Israel kutokea North. Sasa watamtambuaje jina lake? Watatumia namber system za kijerumani (kirumi) au za kwao? JE MIMI NIKIMTAMBUA KWA KUTUMIA HEBREW SYSTEM NITAKUWA NIMEKOSEA( Japo nilivyosema ufunuo ulishuka kwa Hebrew yawezekana nimekosea) BUT walengwa (Israel) wanaotakiwa kufanyia kazi watumie utaratibu upi kumjua huyu 666?
By the way huyo mchambuzi ni Muislael (kitu kama Myahudi)
Unamaanisha nini unaposema kuwa mambo yote siku za mwisho tunaangalia Israeli?

Ni kwa namna ipi Mungu akiwapa ujumbe watu wake anakuwa ana adress Israel?

Au unakuwa unamaanisha unabii ni kwaajili ya Waisraeli siyo watu wengine?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom