Wananchi ndio wenye hoja, na hoja yenyewe ni Serikali kushindwa kulinda watu dhidi ya utekaji, (Haki za binadamu), Kuminywa kwa demokrasia, katiba mpya, uwajibikaji kwa mauaji ya oct 29, nk.Mwenye hoja nani,hoja gani?
Wananchi ndio wenye hoja, na hoja yenyewe ni Serikali kushindwa kulinda watu dhidi ya utekaji, (Haki za binadamu), Kuminywa kwa demokrasia, katiba mpya, uwajibikaji kwa mauaji ya oct 29, nk.Mwenye hoja nani,hoja gani?
Kwani hao Akina Lissu unaposema ni wezi wakubwa , ni lini waliwahi shika serikali wakaiba hizo hela emb' tuambie ni wapi waliiba ktk serikali waliyo iongoza.Tatizo hao unaowashabikia wewe ndiyo wezi mara 1000 wenye lugha laini za kukupumbaza wewe,wanakupa matumaini makubwa yasiyokuwepo, vijana wengi sana wameathirika wakisubiri lissu awe rais wakijua watapata kazi,eti ana majawabu ya ajiri zao 😂😂😂
Kwa hiyo leo mnawaita jamaa wa upinde. Ila jana mlipokuwa mnapokea misaada yao walikuwa wqshirika wa kimaendeleo. Kweli Ujinga haina mipaka.
Wingi wa rasilimali tulizonazo, kasi ya maendeleo iliyopo haiendani hata kidogo na hali mbaya wa maendeleo ya wananchi walio wengi. Shule karibia zote za umma bado watoto wanakaa chini zungukia kidogo shule za Dar na mikoani utaona. Tatizo la maji ni zaidi , Afya madawa hakuna, Haya ndiyo maendeleo ya msingi ambayo kwa sasa yalipaswa kuwa yameisha au karibu na mwisha na sivyo ilivyo sasa.Rasilimali zinasaidia nchi katika maendeleo, Tanzania ya sasa inapiga hatua kila mwaka haijasimama, maendeleo yapo kila sector na yanaendelea kupigwa kila siku!
Poor thinking. Akili za kidikteta na kinyonyaji ndi zipo hivi unavyowaza.Mwafrika ana asili ya ujinga sana vikwazo hivi pia vitaenda kumkandamiza yeye binafsi lakini atafurahia kama #ZUZU!
Kwa ukubwa wa mwenyezi mungu huenda yeye mshangiliaji ndiyo vikamkaba mara 50!
-Wengine tukiona ya aina hii huwa tunamfikiria mtu wa chini,elewa rais aumii wala hakuna kiongozi ataumia,ni miradi itachelewa kufanyika,infact #UZUZU_MBAYA_SANA.
So chadema wakiingia watamaliza shida zote miraculous?/ (Jinsi walivyo wezi wenye uchu mkali)Wingi wa rasilimali tulizonazo, kasi ya maendeleo iliyopo haiendani hata kidogo na hali mbaya wa maendeleo ya wananchi walio wengi. Shule karibia zote za umma bado watoto wanakaa chini zungukia kidogo shule za Dar na mikoani utaona. Tatizo la maji ni zaidi , Afya madawa hakuna, Haya ndiyo maendeleo ya msingi ambayo kwa sasa yalipaswa kuwa yameisha au karibu na mwisha na sivyo ilivyo sasa.
Naona kila mwana chadema suala hili limempendeza sana,idiot!Kwa hiyo leo mnawaita jamaa wa upinde. Ila jana mlipokuwa mnapokea misaada yao walikuwa wqshirika wa kimaendeleo. Kweli Ujinga haina mipaka.
Yes ni kweli Dunia ya sasa sio ya kutengeneza maadui ni kujenga urafiki na Nchi nyingi ili kizazi kijacho kiwe kwenye mazingira mazuri naona wao wamejiangalia wao na kizazi chetu pekee..Na mfaransa ajongelea Nairobi hapo.
Nasikia wataanza kutengeneza tule tu-umbu tudogo tule.
Russia na wale Mabeberu wote sawa tu Russia mjanja mjanja sana akiona Nchi inateteleka uhusiano na Nchi za jumuiya ya Ulaya yeye na Mchina ndio wanatia miguu mrusi ni rafiki wa Tanzania toka enzi za Mwalimu JK Nyerere ndio waliojenga Chuo cha MUST Mbeya huko ila ndio wale wale bhana..Russia hana misaada,elewa kwanza hili,
Russian ana miradi ya kiubia tu,mgawane 50/50.
Russian hana akili za kinyonyaji kama wale jamaa wa 🌈
Your nonsense mayhem are useless gentleman, as our beautiful nation Tanzanians is going to be more powerful, united and stronger than before 🐒Pamoja na kuwa Mzoga wa nguruwe wenye mvundo; maandishi kama haya ni sawa na ya chizi asiyetambua lolote linaloendelea hapo anapoozea.
Tanzania kuwa na umoja dhidi ya Samia Mhalifu ndilo linalokwenda kuwamaliza waovu nyie; siyo kinyume chake.
Hata mizoga wenzio wengi hilo wamekwishalitambua; umebaki tu wewe na wenzie wachache.
Kawaida huwa sijibishani na mzoga, nimeona tu mara moja hii nikukumbushe.
Kinachokusanywa na TRA kinaishia kutumika ndani ya mwezi husika kwa kulipa mishahara.Makusanyo ya TRA kwa mwezi kiasi gani?
Huna elimu ya uchumi kabisa.Ndio, ambayo TRA wanakusanya kwa wiki moja!!
BRIGHT HUMAN SEARCH FOR SURVIVAL AND ALWAYS SUCCEED BY 100%.Katika familia, baba ukifanya ujinga wako huko kazini kwako ukakosa mshahara na hivyo watoto kukosa chakula cha kuweka mezani kutibu njaa zao, haya ndiyo yatakuwa matokeo;
1. Watoto ni kweli watakosa chakula na wanaweza kufa kwa njaa
2. Watalalamika na kukulaumu sana baba ni kwanini umeshindwa kuwapa chakula. Hawatafikiria wala kujali sababu utakazotoa kujitetea. Wao wanachotaka kuona ni chakula, wale washibe...
3. Watalia sana huku wakikulaumu na kukulaani kuwa wewe ni baba mbaya, usiyewajali na usiyejua wajibu wako.
4. Wakati mwingine, wanaweza kutamani wapate baba mwingine anayejali na kuwapatia mahitaji yao
##Hiyo👆🏻👆🏻ndiyo scenario inayoikabili serikali hii haramu chini ya CCM na Samia muuaji wa ndugu zetu. Ni kweli kabisa kuwa, tukikosa misaada hii yeye na watoto wake watakuwa wanakula na kushiba hadi kusaza na kumwaga.
##Lakini itamsaidia nini yeye kuwa ameshiba katikati ya mamilioni ya masikini walio na njaa ambao anatamba kuwa anawaongoza, yeye ni Rais wao? Does it make any sense? Hiyo amani ya nafsi yake ataitoa wapi ktk mazingira ya namna hii..?
##Ni kweli kuna maumivu kwa wananchi kwa misaada hii kukosekana lakini katikati ya maumivu hayo, raia/wananchi wataichukia sana serikali kwa kuwa ndiyo chanzo cha magumu na matatizo yao kwa kuwa itakuwa imeshindwa kutekeleza wajibu wake wa kuhudumia wananchi..!!
##Inaweza kusababisha chaos na vurugu (maandamano, migomo, zomeazomea ya viongozi, mauji, uhalifu kuongezeka na maovu mengine). Haya yanapozidi ktk taifa, basi huwa ni ishara ya wazi ya kushindwa kwa serikali iliyopo madarakani..!!
##Tatizo na changamoto hizi zikiwa extreme, serikali iliyoko madarakani inaweza kuanguka hata kabla ya uchaguzi mwingine kuwadia..!
THEREFORE: Think twice before you argue this sensitive issues
Ila na sisi tumezidi kuwa omba omba;Tatizo akili mbovu tu but tulitakiwa kama nchi hizo Hela sio za Sisi kupagawa wala kushangaa na pia tungekuwa na akili vizuri hizo pesa tungezikataa tu kitambo Sana. Siku zote ukisaidiwa Jua Tu kuna kitu utarudisha au utauza aidha Mali au utu wako...Msaada ni Deni na siyo sifa, MaCCM hayana akili.
Tunapaswa kulilia kiasi gani ili V8 zisikose mafuta na wabunge wasikose posho?Ila na sisi tumezidi kuwa omba omba;
Yaani hivyo ndio vipesa vya kutuendesha namna hiyo.
Hata wao itakuwa wanatucheka baada ya hii kura yao.
Tanzania hatupaswi kabisa kulilia vijipesa kama hivyo.
Hizo ni bei za nyumba tu huko ulaya.Tunapaswa kulilia kiasi gani ili V8 zisikose mafuta na wabunge wasikose posho?
Achana na ulaya, zungumzia Tanganyika yako, V8 na wabunge na mishahara inaweza hudumiwa na pesa za makusanyo na miradi ya maendeleo isiwe affected?Hizo ni bei za nyumba tu huko ulaya.
Ukiacha ushabiki pembeni na ukatumia akili basi utajua kama nchi hatupaswi kutikiswa na fedha ndogo kama hiyo ya kununulia nyumba.
Sentensi yako ni ya kipumbavu sana.Tanzania 🇹🇿 ni nchi huru na rasilimali za kutosha hata hivyo tunao marafiki mbadala kutoka Asia na Russia!!
🥹Mwafrika ana asili ya ujinga sana vikwazo hivi pia vitaenda kumkandamiza yeye binafsi lakini atafurahia kama #ZUZU!
Kwa ukubwa wa mwenyezi mungu huenda yeye mshangiliaji ndiyo vikamkaba mara 50!
-Wengine tukiona ya aina hii huwa tunamfikiria mtu wa chini,elewa rais aumii wala hakuna kiongozi ataumia,ni miradi itachelewa kufanyika,infact #UZUZU_MBAYA_SANA.
Ccm na serikali yake ndiyo inawalea.Naona kila mwana chadema suala hili limempendeza sana,idiot!