Bunge la Ujerumani: Serikali ya Tanzania inatakiwa kutafuta mbadala wa mabwawa kuzalisha Nishati ya Umeme

Umeme huu wa maji utakapokamilika utakuwa ni ukombozi mkubwa kwa wengi iwe vijijini au mijini. Nadhani tusifike kiasi cha kuwataka binadamu wabaki masikini eti kwa sababu ya wanyama. HAPANA! Watuache tujijengee umeme wetu na watuache tuijenge nchi yetu!
 
Hivi hawa Wajerumani wanatoa ushauri kwa faida yao au faida ya Watanzania? Naomba mtaalam aliyeng'amua hapo anijuze ipi ni ipi katika hilo
 
NaoNa wabunge wa Ujerumani hawakupewa taarifa sahihi ndio maana wamefikia kutoa ushauri kwa Serikali yao usio sahihi. Uzoefu wangu kwa hawa jamaa wa Ulaya na Asia, unaonyesha kuwa wengi wao huwa hawajui hata mahali ilipo nchi au mradi au suala wanalozungumzia. Niliwahi kukutana na mzungu mmoja msomi, nikamwambia mimi natoa Tanzania. Alifurahi sana kusikia hilo na mwisho akaniambia, namnukuu" Oh yes, I know where Tanzania is, IT IS IN TASMANIA!", mwisho wa nukuu! Just imagine, itakuwa wabunge hao, ambao wengi hawana tofauti sana na hawa wa upande wa pili!
 
Afadhali hata ya Waarabu tungewasikiliza, maana sawa walituuza, walitapanya shahawa zao visiwani na bado wanakutaka..
ila Mjerumani katili sanaaise, sehemu zote alizotawala aliuwa Natives kama sisimizi...
Wamepitia Industrial Revolution, wamejenga nchi yao kwa kutumia resources zetu na zao, zao kwishenei kabisa, tukumbuke kila nchi na Bara lilijaaliwa wanyama, na viumbe wa kila aina, leo hii huko Ulaya hakuna kabisa, afadhali ya Marekani, ghafla wanajidai ni watu wa kujali sana Mazingira, kama wanataka tusiharibu hayo Mazingira si waje wajenge wao "An Alternative Power Source?! Hii ni kama wanataka vizazi vyao washuhudie Wanyama waliokuwepo Duniani, hata kwao!
 
Mr.Haambiliki na wapamba wake muda ndio huwaumbua maana kamwe huwa hawasilikizi mawazo ya watu.

Mpaka sasa ameshavurunda katika mambo mengi na yote ni kutokana na yeye kupuuza ushauri na maoni ya watu.

Huyu ni mtu wa kuharibu tu na kibaya hataki kujifunza na hata kukiri kuwa anakosea.

Tuache muda utakuja kuthibitisha ni nani yuko sahihi kati ya serikali na wataalamu waliofanya Environmental Impact Assessment.
Ni athari zipi hasa zitakazo tokea baada ya ujenzi wa bwawa hilo?
 
In all Tanzanian newspapers Magufuli tells us the dam will deliver 2100MW electricity
However, according to the Egyptian construction company, yearly production will be 5,920,000 MWh, which is an average of 675MW. (5,920,000 / (365x24) = 675MW).

President Magufuli tells us construction time is a bit more than three years. Impossible!
Construction of the Ethiopian dam (GERD).started 2011 and was 60% complete in Aug 2017.
Filling the Stiegler's reservoir will take 5+ years.

Gas powered plants are a lot cheaper and take 2-3 years to build. Tanzania has the gas.

Stiegler's Gorge was a main Julius Nyerere project, but noone would finance constructing it.
The construction company for Stiegler's is partly owned by the Egyptian state. Politics are involved: Egypt is not happy about Ethiopia building a dam across the Nile and wish to regain some control of the upper parts of Nile.
The bulldozer desperately wants the dam built and those who raise critical questions are called unpatriotic. The whole process around the dam is quite undemocratic.

Why do we not know how Stiegler's Gorge will be financed?
 
Mr.Haambiliki na wapamba wake muda ndio huwaumbua maana kamwe huwa hawasilikizi mawazo ya watu.

Mpaka sasa ameshavurunda katika mambo mengi na yote ni kutokana na yeye kupuuza ushauri na maoni ya watu.

Huyu ni mtu wa kuharibu tu na kibaya hataki kujifunza na hata kukiri kuwa anakosea.

Tuache muda utakuja kuthibitisha ni nani yuko sahihi kati ya serikali na wataalamu waliofanya Environmental Impact Assessment.
Mpumbavu mmoja wewe. Unafikiri kwa kutoka kwenye tundu la choo. Nyie ndio mashoga aliowakubali Lissu kwenye Hardtalk.ya Bbc
 
In all Tanzanian newspapers Magufuli tells us the dam will deliver 2100MW electricity
However, according to the Egyptian construction company, yearly production will be 5,920,000 MWh, which is an average of 675MW. (5,920,000 / (365x24) = 675MW).

President Magufuli tells us construction time is a bit more than three years. Impossible!
Construction of the Ethiopian dam (GERD).started 2011 and was 60% complete in Aug 2017.
Filling the Stiegler's reservoir will take 5+ years.

Gas powered plants are a lot cheaper and take 2-3 years to build. Tanzania has the gas.

Stiegler's Gorge was a main Julius Nyerere project, but noone would finance constructing it.
The construction company for Stiegler's is partly owned by the Egyptian state. Politics are involved: Egypt is not happy about Ethiopia building a dam across the Nile and wish to regain some control of the upper parts of Nile.
The bulldozer desperately wants the dam built and those who raise critical questions are called unpatriotic. The whole process around the dam is quite undemocratic.

Why do we not know how Stiegler's Gorge will be financed?
So what? Even 10 years it is none of your business
 
According to Mr. President (politician) told us the dam will produce 2100MW of electricity; and according to Egyptian construction company (contractor) shows an average of 675MW will be produced. The calculation shows that there is deficit of 1425MW of electricity compare to what the government said to us; it seems imposed so was justification to the public to give them green light on going through the implementation of the said project in question.
In this manner, there is something wrong here regarding this project; unless we get the feedback as to why this deficit arise
 
Mr.Haambiliki na wapamba wake muda ndio huwaumbua maana kamwe huwa hawasilikizi mawazo ya watu.

Mpaka sasa ameshavurunda katika mambo mengi na yote ni kutokana na yeye kupuuza ushauri na maoni ya watu.

Huyu ni mtu wa kuharibu tu na kibaya hataki kujifunza na hata kukiri kuwa anakosea.

Tuache muda utakuja kuthibitisha ni nani yuko sahihi kati ya serikali na wataalamu waliofanya Environmental Impact Assessment.
Probably you need to read this first Hambach Forest – We are occupying the Hambach Forest, against its destruction and for more climate justice. to see if the Germans politicians are real pro environment, before judging your own government. For a matter of fact, Germany has already cleared a large part of its forest to mining coal for electricity generation. Electricity generation by Coal is also destructive to the environment compared to Hydro.

Instead, of judging your government, tell them to conserve their environment first!
 
Sijui kama watakuelewa hawa vilaza. naomba uwatafsirie japo kidogo
 
Mzee Mukaruka.
I guess, He was being sarcastic.
No! No, he was very serious kutokana na follow discussion iliyofuata! Huwezi amini kamasisi wengi huku tusiojua jogirafia ya dunia hii na ya nchi nyingine kwa sababu moja au nyingine, vivyo hivyo huko "majuu" wapo wengi sana. Ni kama vile ukikutaka na Mmarekani huko kwao labda Washington D.C. au New York au Boston na ukamueleza kwa lugha yake kuwa " ..... this is my seventh time in the USA" atashangaa kwani yeye hata kutoka New York hajawahi! Hivyo hata hao wabunge wa hilo Bunge la Ujerumani, usione ajabu labda hata hajawahi kutoka nje ya Berlin! Usishangae ya Faraoh kabla hujaona ya Nabii Musa!
 
Back
Top Bottom