Mfiaukweli
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 5,636
- 8,774
Siwezi k)eza muda kujibu maswali yako. swala lililonileta hapa ni ujerumani against tz coz naelewa tutapunguza kaeneo ka hifadhi na yes kutakua na upotevu wa kiasilimia fulani ka miti na yes percentage chache ya mazingira ila tuna mambo mengi sana tunafanya yanayoharibu mazingira by far kulio hiyo project. So maswala yako ya Norway anzisha uzi mwingine wa maswala ya environmental conservation or else
This proves you don't have a clue to what I have been saying and which in turn you have no idea as to why a foreign country would bother about the welfare of one country in order to preserve own interests. Hata jiwe hana intellectual capacity ya kuelewa hiki nitakachokuambia sasa, nevertheless I will try. Ipo hivi; wanachokifanya Wajerumani ni sawa kwa mtu mwenye jirani ambae ana shamba linaloweza kuwaka moto (wakati yeye ataathirika moto ukianzia kwenye shamba la.jirani yake ambae ni mvivu na mpumbavu) anaamua kumsaidia huyo jirani yake. Kwa akili yako ya ki Magufuli nani anafaidika zaidi?